Today 2 Flashcards
Mkahawa wa Applebee’s umeshtakiwa kubaguana kwa rangi ya ngozi mjini Kansas City.
Applebees
Vijana wawili walipigwa risasi baada ya gwaride ya Mardi Gras mjini New Orleans bado waishi.
Mardi Gras
Mji wa Cape Town ambao ulikuwa na ukame kali umepata mvua.
Cape Town
Bomu lilipuka karibu na uwanja wa ndege wa London.
Bomb
Kiongozi wa chama cha upinzani aliyeitwa Daniel John ameteswa na ameuawa.
Tortured leader
Kijiji kimoja karibu na mji wa Bukoba kina tatizo la mashambulio ya mamba.
Crocodile
balaa
catastrophe
wahenga
elders
waraka
letter/document
kuambua
to peel (a banana)
bashasha
joy
kuadhimisha
to celebrate
kukatizwa
to interrupt
kukonya
to grab (steal)
kunyakua
to snatch (steal)
sulubu
hard labor
makarimu
generosity
sifa
reputation/s
mafanikio
succeses
kero
annoyance
haidhuru
nevermind
pembe
corner
matini
text
matokeo
outcomes
kusadikisha
to prove
mashahidi
witnesses
dhiki
struggles/difficulties
unyonge
tiredness
makopo
tins
hamu
eagerness
kujiri
to happen?
kutokea
to happen
kwekwe
weeds
tundu
hole
kubaguana
to discriminate
tabaka
social class
penye nia pana njia
if there is a will there is a way
chuki
hatred
uhasama
hostility
mikuki
spears
mapanga
machetes
kutenga
to set aside
msonge
temporary