100 Advanced Sentences (Vol. 1) Flashcards

1
Q

Niwie radhi ninaweza kuangalia mzigo yako?

A

Excuse me may I check your bag?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

Ulifanikiwa kuhesabu mapanya wote?

A

Were you successful in counting all of the rats?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

Msalani ni wapi?

A

Where is the restroom?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

Bei ya hii ni nini?

A

How much is this?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

Wanafunzi, nyamazeni na sikilizeni maagizo ya darasani!

A

Students, keep quiet and listen to class instructions.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

Bila shaka nakupenda.

A

Of course I love you.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

Je, unafanya nini leo twende matembezi?

A

What are you doing today, shall we go for a walk?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

Walisema kufanya mazoezi kutakusaidia kupoteza uzito.

A

They say doing exercises will help you lose weight.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

Sijui la kufanya.

A

I don’t know what to do.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

Nilimfunza mtoto wangu kusema karibu anapoambiwa asante.

A

I taught my toddler to say “you’re welcome” when he is told ‘”thanks.”

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

Ubao mweupe ndilo chombo nzuri ya kueleza kitu cha picha.

A

A whiteboard is a perfect means to demonstrate something visually.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

Ikiwezekana, ningelipenda kukuja kesho tena.

A

I would like to come again tomorrow, if possible.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

Mzabibu ule unaonekana mzee sana.

A

That grape looks very old.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

Hawakupeana ya kutosha.

A

They did not give enough.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

Atakutafuta kwenye mkutano, usijali.

A

He/She will look for you at the meeting, do not worry.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

Usipoteze wakati wako kutafuta kazi ya hali ya juu, anza tu kufanya kazi.

A

Don’t waste (lose) your time looking for the best job, just start working.”

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
17
Q

Nitakuuliza mara nyingine moja.

A

I will ask you one more time.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
18
Q

Computa hii haifanyi kazi.

A

This computer doesn’t work.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
19
Q

Naomba unisaidie kufanya kazi hii.

A

I request that you help me to do this work.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
20
Q

Huwezi kuingia bila kibali.

A

You cannot enter without permission.

21
Q

Nahisi vizuri.

A

I feel good.

22
Q

Alijaribu kunibusu lakini nlitoroka.

A

He tried to kiss me, but I ran away.

23
Q

Ningelipenda kuchagua kitu ambacho sijawahi kujaribu.

A

I would like to choose something I have never tried.

24
Q

Ikiwa huwezi kumbuka wakati wa kuondoka, tafadhali angalia tiketi yako mara mbili.

A

If you are unable to remember the departure time, please check your ticket twice.

25
Q

Watu huondoka nyumbani na kwenda kazini wakati wa jua kupaa.

A

People usually leave home for work at sunrise

26
Q

Kifaru ana hisia ya hali ya juu ya kusikia na kunusa.”

A

The rhino has a good sense of hearing and smelling.”

27
Q

Fikiria unachotaka unipe jibu kesho.

A

Think about what you want and give me an answer by tomorrow.

28
Q

Ninafuraha kukutana nawe.

A

Nice to meet you.

29
Q

Utasaidiaje wenginge ambaye wanahitaji kumaliza kazi zao.

A

How will you help the others who need to finish their work?

30
Q

Maoni yangu ni kuwa…

A

My opinion is that. . .

31
Q

Naonelea ni vizuri uende sokoni kwanza halafu uoge baadaye.

A

I suggest you first go to the market and then shower afterwards.

32
Q

Usifanye shughuli ya pesa hadharani.

A

You should not handle money in public places.

33
Q

Usipitie hapo, kuna mtaro.

A

Do not pass there, there is a ditch.

34
Q

Usikule hiyo chakula, imeoza.

A

Do not eat that food, it’s spoiled.

35
Q

Ni vizuri ujue ya kwamba wezi ni wengi kwa mitaa

A

It is good to know that there are many thieves in the streets.

36
Q

Kuna wezi wanapiga watu. Usipitie njia hiyo. Ni vizuri ukitumia njia ingine.

A

There are may thieves robbing people. You should not go that way. It’s good to use another way.

37
Q

Ningetaka tujuane zaidi ukikubali mwaliko wangu.

A

” would like for us to get to know each other more, so please accept my invitation.

38
Q

Ningependa kukualika katika harusi yangu. Itakua tarehe nne mwezi wanne.

A

I would like to invite you to my wedding. It will be on the fourth of April.

39
Q

Nitakuja katika sherehe yako. Asante sana kwa kunialika.

A

I will come to your celebration. Thanks for inviting me.

40
Q

Sitaweza kuja kwenu leo, naenda mjini.

A

I cannot come to your (pl.) place today, I’m going to town

41
Q

Siku yako ya kuzaliwa ni lini?

A

When is your Birthday?

42
Q

Umeshawahi kuwa Kenya?

A

Have you EVER been to Kenya?

43
Q

Kukinga misitu ni jambo la maana.

A

Protecting the forest is a meaningful thing.

44
Q

Mikakati ya kupunguza uchafu ni mingi.

A

There are many strategies to reduce trash. (W/o Kuna

45
Q

Kutumia tena kitu chochote ni pendekezo nzuri.

A

Reusing anything is a good recommendation.

46
Q

Hifadhi umeme ili uweze kuhifadhi hela.

A

Save energy so that you should be able to save money.

47
Q

Usisahau vazi ya kuoga yako.

A

Do not forget your swimsuit.

48
Q

Majira ya likizo nitapumzika kutoka kwa masomo.

A

During break I will take a rest from studies.

49
Q

Kwa vile unasafiri dunia moja kwa joja siwezi kukuona sana.

A

Since you travel around the world continuously I am unable to see you a lot.