Lesson 29a: Body Parts Flashcards
kichwa/kichwa
head/s
jicho/macho
eye/s
pua/mapua
nose/s
mdomo/midomo
mouth/s
kidevu/videvu
chin/s
kidakatonge/vidakatonge
adam’s apple/s
kifua/vifua
chest/s
kwapa/kwapa
armpit/s
tumbo/matumbo
stomach/s
kitovu/vituvo
belly button/s
mkono/mikono
arm/s or hand/s
nyonga/nyonga
wrist
kidole/vidole
finger/s or toe/s
paja/mapaja
thigh/s
goti/magoti
knee/s
muundi/miundi
shin/s
kifundo cha mguu/vifundo vya mguu
ankle/s
unyayo/nyayo
sole/s
kisigino/visigino
heel/s
tako/matako or kalio/makalio
bottom/s
kiuno/viuno
waist/s
kisugudi/visugudi
elbow/s
mgongo/migongo
back/s
bega/mabega
shoulder/s
shingo/mashingo
neck/s
ndewe/ndewe
earlobe/s
sikio/masikio
ear/s
kisogo/visogo
back of head/s
unywele/nywele
hair/s
utosi
crown of head
uso/nyuso
face/s
shavu/mashavu
cheek/s
ndevu/ndevu
beard/s
koo/koo
throat/s
titi/matiti
breast/s
vidole vya mkono
fingers
vidole vya mguu
toes
ukucha/kucha
nails
ngozi/ngozi
skin/s
malaika/malaika
body hair/s
mbeleni/mbeleni or sehemu za siri
private part/s
paji
forehead
mwili
body
viungo vya mwili or sehemu za mwili
parts of the body
sehemu za nje
external parts of the body
Ni sehemu gani inauma mwilini?
Which part of the body is hurting?
Ni sehemu gani ya mwili inauma?
Which part of the body is hurting?
Unasikia maumivu katika sehemu gani ya mwili?
Which part of the body are you feeling pain?