Lesson 6: School Subjects Flashcards
akiolojia; elimu kale
archaeology
anthropolojia
anthropology
bayolojia
biology
biashara
business
botania
botany
dini
religion
elimu
education
elimu ya kompyuta
computer science
elimu ya maktaba; ukutubi
library science
elimu ya mazingira
environmental science
elimu ya mawasiliano
communication studies
elimu ya siasa
political science
elimu ya usimamizi wa fedha
finance
falsafa
philosophy
fasihi
literature
fizikia
physics
hisabati; heasabu
math
historia
history
isimu (ya lugha)
linguistics
jiografia
geography
jiologia
geology
kemia
chemistry
kihispania
spanish
lishe
nutrition
lugha
language
masomo ya Kiafrika
african studies
masomo ya maendeleo
development studies
masomo ya wanawake
women’s studies
muziki
music
saikolojia
psychology
sanaa
fine arts
sayansi
science
sayansi ya jamii
social science
sayansi ya mimea
plant science
sheria
law
sosholojia
sociology
uandishi
journalism
uchumi
economics
uganga; udaktari
medicine
uhandisi
engineering
unesi
nursing
uongozi; manejimenti
management
upasuaji
surgery
usanifu majengo
architecture
afya ya jamii/ afya ya umma
community health/public health
mipango ya miji
urban planning
Wewe unasoma masomo gani?
What subjects do you study?
Wewew unasoma nini?
What do you study?
Wewe unasoma wapi?
Where do you study
Mimi ninasoma historia. . .
I study history . .
Mimi ninasoma katika chuo kikuu cha Kansas.
I study at KU.
sanaa za maonyesho
theater arts