Lesson 1: Classroom Instructions Flashcards
rudia
repeat
mwalimu
teacher
profesa
professor
mwanafunzi
student
jibu
answer; respond
uliza
ask
unaelewa?
do you understand?
mnaelewa?
do y’all (plural) understand?
ndiyo
yes
la; hapana
no
swali
question
mna swali?
does anyone have a question?
mwalimu, nina swali
teacher, i have a question
sielewi
i don’t understand
sikiliza
listen (singular command)
sikilizeni
listen (plural command)
simama
stand
tafadhali
please
keti; kaa
sit
kusanya
collect
karatasi
paper
leta
bring
tazama
look
funga
close
fungua
open
nyamaza
be quiet (singular)
nyamazeni
be quiet (plural)
ongea/zungumza/sema katika Kiingerzera
speak in English
jibu katika/kwa Kiswahilli
respond in Swahili
polepole
slowly
taja
mention
tamka
pronounce
soma
read; study
andika
write
kumbuka
remember (singular)
mnakumbuka
remember (plural)
jaribu
try
tena
again
karibu
welcome
“Chair” ni nini kwa Kiswahili?
What is chair in swahili?
tafsiri
translate
chemsha bongo
brain teaser
sijui
i do not know
kwaheri
bye
tutaonana baadye
hope to see you later
asante (sana)
thank you (very much)
njoo
come
samahani
excuse me
haraka haraka
fast
vizuri (sana)
good (very)
mbaya (sana)
bad (very)
kazi nzuri
good work
kazi ya nyumbani
homework
Leo tutasoma _____.
Today we will learn ______.
Jana tulisoma nini?
What did we learn/study yesterday?
Leo tumesoma nini?
What have we learned/studied today?