Lesson 30b: Extra Disease Vocabulary Flashcards
maumivu
pain;hurt
kufa
to die
sindano
needle
dawa
pill/medicine
kupima
to examine
daktari
doctor
daktari wa meno
dentist
daktari wa macho
eye doctor
pata kitanda
to be admitted
tibiwa
to be treated
pata nafuu/pona
to get better
tibu
treat
ugonjwa
illness/sickness/disease
gani
which/what
Usijali
do not worry
Usijali utapona/utapata nafuu.
do not worry, you will get better
Kwa nini?
Why?
Kwa sababu
because
glasi
glass
hospitali
hospital
kliniki
clinic
nesi
nurse
maabara
bathroom
mgonjwa
patient/sick person
kwenda kwa daktari
go to the doctor
kwenda hospitali
go to the hospital
kunywa dawa
take medicine
kuona daktari
see the doctor
kupata dawa
to get medicine
kuumwa na tumbo/mguu/etc.
to be hurt in the stomach/leg/etc.
furaha
happy
huzuni
sad
Nina furaha/huzuni.
I am happy/sad.
Choka
tired
Nimechoka
I am tired.
Kulia
To cry
Mimi ni mgonjwa.
I am sick.