Lesson 37: Places Flashcards
mahali/pahali
places
darasa
class
maktaba
library
nyumba
house
duka
store/shop
soko
market
kanisa
church
msikiti
mosque
hekalu
temple
hospitali
hospital
zahanati
dispensary/health center
duka la dawa
pharmacy/drug store
duka la vitabu
bookstore
duka la viatu
shoe store
shule/chuo
school
chuo kikuu
university
chumba cha mazoezi
gym
chumba cha burudani
recreation center
chumba cha kula
dining hall
kituo cha basi
bus stop
kituo cha treni
train stop
stesheni ya basi
bus station
stesheni ya treni
train station
mkahawa
restaurant
hoteli
hotel
baa
bar
kilabu
club
ofisi
office
posta
post office
uwanja wa ndege
airport
msala
bathroom
jengo
building
ukumbi/kumbi
hall/halls
bwawa
pool
kisiwa
island
bahari
ocean
ziwa
lake
mto
river
chemichemi
fountain
bweni
dorm
shule ya watoto
kindergarten
shule ya nasari
preschool
shule ya msingi
primary/elementary school
shule ya sekondari
high school
shule ya kutwa/mchana
day school
shule ya bweni
boarding school
shule ya mseto/mchanganyiko
coed school
shule ya wavulana
boys school
shule ya wasichana
girls school
shule ya serikali
government school
shule ya kibinafsi
private school
shula ya kimataifa
international school