Lesson 23: Buying and Selling Flashcards
bei
price
ghali
expensive
rahisi
cheap
nafuu
fair
bei ghali
expensive price
bei rahisi
cheap price
bei nafuu
fair price
bei ghali sana
very expensive price
bei rahisi sana
very cheap price
bei nafuu sana
very fair price
haipungui
does not reduce/fixed
bei haipungui
does not reduce/fixed price
hakuna faida/maslahi
there is no profit
ninataka
i want
shilingi
shillings
dola
dollars
mwuzaji
shopkeeper/merchant/seller
mteja
customer
Twende!
Let’s go!
pesa/hela
money
Ghali sana!
Too expensive!
punguza kidogo
reduce a little
ongeza kidogo
add a little more
Jamani, Mungu wangu!
Oh my God!
Hapana! Tafadhali punguza bei.
No! Please lower/reduce the price
Haiwezekani!
Impossible!
Acha bwana/mama!
Stop it, don’t be ridiculous sir/madam.
leta
bring
nipe
give me
nunua
to buy
maskini
poor
tajiri
rich
Mimi ni maskini.
I am poor.
Mimi ni tajiri.
I am rich.
Lipa
pay
Utalipaje?
How will you pay.
kwa kedi
by card
kwa cheki
by check
kwa pesa taslimu
by cash
Nitalipa kwa …
I will pay by…