Lesson 26a: Colors Flashcards
eupe/rangi ya mzaiwa
white
eusi
black
ekundu
red
bluu
blue
rangi ya machungwa
orange
rangi ya kijivujivu
gray
rangi ya kahawa
brown
rangi ya manjano
yellow
rangi ya zambarau
purple
rangi ya shaba
bronze
rangi ya fedha
silver
rangi ya dhahabu/zari
gold
rangi ya urujuani
violet
rangi ya hudhurungi
mustard
rangi ya waridi
pink
rangi ya kijani
green
rangi ya giza
dark color
rangi ya mwangaza
light color
angirangi/rangirangi
multicolored
rangi ya bluu giza
dark blue
rangi ya bluu mwangaza
light blue
rangi ya nili
indigo/dark blue
Umevaa nguo za rangi gani?
What are the colors of the clothes you have on?
Nimevaa nguo za rangi nyeusi na kijani. or
Nimevaa tisheti bluu, jinsi bluu na buti kahawa.
I am wearing clothes of the colors black and green. or I am wearing a blue t-shirt, blue jeans and brown boots.
Unapenda rangi gani?
What colors do you like.
Ninapenda rangi za . . .
I like the colors of . . .
Rangi za upinde wa mvua ni gani?
What are the colors of the rainbow?
Rangi za upinde wa mvua ni . . . or ni. . .
The colors of the rainbow are . . . or They are . . .
Rangi za bendera ya Marekani ni gani?
What colors are on the American flag?
Rangi za bendera ya Marekani ni . . . or ni . . .
The colors on the American flag are . . . or They are . . .