Mashairi Flashcards
tathnia
2 lines
tathlitha
3 lines
tarbia
4 lines
takhmisa
5 lines
tasdisa
6 lines
ukumi
10 lines
tendi
many lines
mshairi
poem writer
shairi/mashairi
poem/poem
malenga
pet (performer & writer)
dhamira (nia, sababu, lengo)
purpose
maudhui
theme
mbinu za lugha
stylistic devices
ubeti(beti)
stanza
mstari/mistari
lines
mstari wa kwanza - mwanzo
beginning line
mstari wa pili - mleo
holding line
mstari wa tatu - mloto
resting line
mstari wa nne - mwisho
receiving/ending line
kipokeo
chorus
kipande/vipande
section/s
kina/vina
rhyme/s
mizani
syllables
wanamapokeo
traditionalists
wanamapinduzi
contemporalists
kufupisha maneno
to shorten words
kurefusha maneno
to elongate words
kubadalisha maneno
to change words
kutohoa maneno
to borrow words
kutumia lsamiati wa kale
to use wordss from the past
kuchanganya
code-mixing
kuhamisha ndimi
code-switching