Lesson 12a: Various Personalities Flashcards
daktari
doctor
daktari wa meno
dentist
daktari wa macho
eye doctor/optician
nesi
nurse
mkunga
midwife
dereva
driver
mjamzito
pregnant woman
mwendawazimu;kichaa
mad/crazy person
mwizi
thief
hakimu
judge
wakili;mwanasheria
lawyer
mshtakiwa
accused person
shahidi/mashahidi
witness/es
karani
clerk
kinyozi
barber
mfanyibiashara
buisness man/woman
mfugaji
livestock farmer
mjenzi
construction worker
mkalimani
interpreter
mpishi
cook
mtafiti
researcher
mvuvi
fisherman
mwalimu
teacher
mhadhiri
lecturer/instructor
profesa
professor
padre;kasisi
clergy/preacher
mpelelezi;jasusi
spy;detective
ofisa wa polisi
police officer
nahodha
sea captain
rubani
pilot
mhandisi
engineer
tarishi;mjumbe
postman
msusi
beautician
mlanguzi
smuggler
mshenga
matchmaker
naibu
deputy/assistant
mbunge
MP; senator
rais
president
gavana
governor
mwakilishi
representative;congress person
waziri
minister;cabinet secretary
meya
mayor
mfalme
king
malkia
queen
mganga
healer;physician
maskini;fukara
poor person
mwenyekiti
chairman/person
katibu wa chama
secretary of the association
mwanachama
member
mwekahazina
treasurer
mhasibu
accountant
mtumishi
servant;waiter;laborer
mkutubi
librarian
tajiri;mkwasi
rich person
mchawi
witch
mwenyekiti idara
head of department
mkuu wa kitivo
dean
mpakaji rangi
painter
muuzaji
salesman/woman
kazi nyumbani
housewife?
mwanamuziki
musician
mwanasayanisi
scientist
mwanaanga
astronaut
mwanamichezo
sportsman/woman
mwanasanaa
artist
mwanajeshi
soldier
mwanaisimu
linguist
mwanahistoria
historian
mwanahewa
air force
mwanabayolojia
biologist
mwanaanthropolojia
anthropologist
mwanasheria
lawyer
mwanasiasa
politician