Lesson 34a: Environment Flashcards
bahari/bahari
ocean/s or sea/s
ziwa/maziwa
lake/s
kisiwa/visiwa
island/s
pwani/pwani
coast/s
bara/bara
inland/s
mto/mito
river/s
mlima/milima
mountain/s
mbingu/mbingu
sky/skies
mti/miti
tree/s
nyasi/nyasi
grass/es
ua/maua
flower/s
tawi/matawi
branch/es
jani/majani
leaf/leaves
mchanga
sand
udongo
soil
msitu/misitu
forest/s
jangwa/majangwa
desert/s
ufuko/fuko
shore/s
ufukwe/fukwe
beach/es
mmea/mimea
plant/s
chemchemi/chemchemi
fountain/s
bwawa/mabwawa
pool/s
kiwanja/viwanja
field/s
njia/njia
path/s or road/s
barabara/barabara
highway/s or road/s
shamba/mashamba
farm/s
mazingira
environment
Nchi yako ina mazingira gani?
What environment does your country have?
Jimbo lako lina mazingira gani?
What environment does your state have?
Mji wako una mazingira gani?
What environment does your city have?
Mtaa wako una mazingira gani?
What environment does your neighborhood have?
Nyumba yako ina mazingira gani?
What environment does your house (home) have?
Unapenda mazingira gani?
Which environment do you like?
(Wewe) hupendi mazingira gani?
Which environment do you not like?