Lesson 7: Countries, Nationalities, Languages Flashcards
Mashariki ya kati
Middle East
Ufaransa
France
Uhispania; Uhispaniola
Spain
Ureno
Portugal
Ujapani
Japan
Ujerumani
Germany
Uturuki
Turkey
Urusi
Russia
Israeli
Israel
Msumbuji
Mozambique
Serikali ya Demokrasia ya Congo
Democratic Republic of Congo
Ulaya; Uropa
Europe
Uhabashi
Ethiopia
Meksiko
Mexico
Kanada
Canada
Mmarekani; Mwamerika
American person
Mwiingereza
British person
Mchina
Chinese person
Mwitalia; Mtaliano
Italian person
Mfaransa
French person
Mhispania
Spanish person
Mjerumani
Germany person
Mhindi
Hindu person
Mkenya
Kenyan person
Mtanzania
Tanzanian person
Mganda
Ugandan person
Mzungu
Caucasian person
Mwafrika
African person
Mmeksikana
Mexican person
Mkanada
Canadian person
Kiingereza; Kizungu; Kimombo
English (language)
Kiarabu
Arabic (language)
Kichina
Chinese (language)
Kifaransa
French (language)
Kihispania; Kihispaniola
Spanish (language)
Kijerumani
German (language)
Kilatini
Latin (language)
Kiswahili
Swahili (language)
Kinyarwanda
Rwandese (language)
kizulu
Zulu (South Africa) (language)
Unatoka nchi gani?
Which country do you come from?
Uraia wako ni gani?
What is your nationality?
Unasema/unaongea/unazungumza lugha gani?
What languages do you speak?
Bara la Afrika / Bara Afrika
African continent
Bara la Ulaya / Bara Uropa
European continent
Bara Amerika Kusini
South American continent
Bara Amerika Kaskazini
North American continent
Bara Asia
Asian continent
Bara Australia
Australian continent
Bara Antakitika
Antarctica
Marekani
America
Uingereza
England/ UK
Misri
Egypt
Uchina
China
Italia
Italian
Uswidi
Sweeden
Uswisi
Swiss
Usomali
Somalia
Ugiriki
Greece
Israeli; Uyahudi
Israel
Uholanzi; Udachi
Netherlands; Holland
Ubeljiji
Belgium
India
India
Ushelisheli
Seychelles
Mswidi
Sweedish Person
Mswisi
Swiss Person
Mreno
Portugese Person
Mjapani
Japanese Person
Mturuki
Turkish Person
Msomali
Somali Person
Mrusi
Russian Person
Mgiriki
Greek Person
Mholanzi
Dutch Person
Mbeljiji
Belgian Person
Mganda
Ugandan Person
Mmsumbuji
Mozambican Person
Mhabashi
Ethiopian Person
Mwafrika Kusini
South African Person
uraia
nationality
mraia
a national (citizen)
Kiitaliano
Italian (language)
Kiswidi
Swedish (language)
Kiswisi
Swiss (language)
Kireno
Portuguese (language)
Kijapani
Japanese (language)
Kituruki
Turkish (language)
Kisomali
Somali (language)
Kirusi
Russian (language)
Kigiriki
Greek (language)
Kiyahudi
Hebrew (language)
Kiholanzi; Kidachi
Dutch (language)
Kihindi
Hindi (language)
Kihausa
Hausa (language)
Kiwolof
Wolof (language)