Lesson 9f: Noun Classes [U-U] Flashcards
uso/nyuso
face/s
uzi/nyuzi
thread/s
ua/nyua
courtyard/s
ufa/nyufa
crack/s
ulimi/ndimi
tongue/s
udevu/ndevu
beard/s
ubao/mbao
board/s
ubavu/mbavu
rib/s
ubawa/mbawa
wing/s
unywele/nywele
strand of hair/hair
ufunguo/funguo
key/s
ukuta/kuta
wall/s
upanga/panga
machete/s
upepo/pepo
wind/s
wimbo/nyimbo
song/s
ugali/ugali
corn paste
uji/uji
porridge
umri/umri
age
usingizi/usingizi
sleep
kijana-ujana
young person-young age
mzee-uzee
old person-old age
maskini-umaskini
poor person-poverty
mtoto-utoto
child-childhood
kuiba-uwizi
to steal-theft
pande/upande
side/s
uvumbi/vumbi
a grain of dust/dust
wembe/nyembe
razor blade/s
udongo/udongo
soil; ground
ulimwengu/ulimwengu
world
umeme/umeme
electricity
unga/unga
flour
uwongo/uwongo
lie/s
uyoga/uyoga
mushroom/s
ushuru/ushuru
tax/es
UKIMWI/UKIMWI
AIDS
mchawi-uchawi
witch-witchcraft
mfalme-ufalme
king-kingdom
kukosa-ukosefu
to miss-deficiency
kupenda-upendo
to love-love
kuweza-uwezo
to be able-ability
kusahau-usahaulifu
to forget-forgetfullness
ulafi
greediness
uhodari
smartness
ubaya
badness
umoja
unity
uchoyo
meaness
ubora
goodness
ufundi
expertise
urafiki
friendship
wema
kindness
wizi
theft
Ufaransa,Uingereza,Ujerumani…
France, England, Germany…