100 Random Words (Vol. 1) Flashcards
agizo/maagizo
instruction/s; order/s
amkio/maamkio
greeting/s
salamu
greeting
habari
news
jambo/mambo
thing/s; issue/s
hali
condition
chimbuko/machimbuko
origin/s; source/s
binadamu
human beings; humanity
makao
base; home (in the sense of starting place); headquarters
hai
live; living
eneo/maeneo
area/s
kwa sasa
for now; currently
kusemekana
to be said
Inasemekana
It is said
babu/mababu
ancestor/s
kuwa
that (one meaning)
kuhesabu
to count; counting
kujumilisha
to add; adding
kutoa
to subtract; subtracting
kukuta
to find
mwan’angu
my child
kufanikiwa
to be successful
kata/kata
district/s; ward/s
Saidia!
Help
Subiri kidogo
Just a moment; wait a little
kupea
to give
kutumia
to use
kibali
permission
kunosa
to smell
kusambaza
to spread around; distribute
kwenye
at; to; towards; on
kuchanganyika
to mix; blend
dubu/madubu
bear/s
maandishi
text
kuathiri
to affect; influence; damage
mitandao ya kijamii
social network/media
wino
ink
kufuzu
to pass (a test)
mwafaka
right; acceptable
kutakia
to wish
mdosi
boss
kuagiza
to order
hadharani
public
mfuko/mifuko
pocket/s; backpack/s
kuarifu
to inform; advise
mtaro/mitaro
ditch/es
alama
scores
kiwanja/viwanja
field/s
funzo/mafunzo
lesson/s; teaching/s; instruction;s
mwaliko/mialiko
invitation/s
kualika
to invite
Waandamaji
demonstrator/s; protestor/s
kuongezeka
to increase
mamia
hundredths
makumi
tenths
kukuta
to find
kuzima
to turn off
kuisha
to finish
ushauri
advice
kujaza
to fill (up, to, in)
kuwasha
to turn on
kwa bahati
luckily
kukata
to cut
kukatwa
to be cut
kipande/vipande
piece/s
nukta
dot; period
kugawanya
to divide
kugawanyika
to be divided
kubidi
to be necessary
kubadilisha
to change; to exchange
kuwahi
to manage; to have ever
kuchangia
to contribute
kutwanga
to pound; beat
kujitolea
to volunteer
kukinga
to protect
kuhifadhi
to conserve
mkakati/mikakati
strategy/ies
kutunza
to care fore
bidhaa/bidhaa
good/s; product/s; merchandise/s
pendekezo/mapendekezo
recommendation/s