Lesson 36: Housing and Accommodation Flashcards
sebule/baraza
living room
kochi/makochi/sofa
couch
televisheni
tv
rafu ya vitabu
bookshelf
zulia/mazulia
carpet/s
taa/taa
light/s
meza/meza
table/s
paa/mapaa
roof/s
dirisha/madirisha
window/s
picha/picha
picture
pazia/mapazia
curtain/s
feni
fan
swichi
switch
ukuta/kuta
wall/walls
redio
radio
kaseti/kaseti
casette/s; CD/s
saa/saa
watch/clock
saa ya ukuta
wall clock
mchoro/michoro
artwork/s
simu ya mkono
cell phone
video
video/s
kiyoyozi/viyoyozi
air conditioner
mkeka/mikeka
mat/s
chumba cha kula chakula
dining room
meza
table/s
kiti/viti
chair/s
kabati/makabati
cupboard/s
kitambaa/vitambaa
napkin/s
Jikoni
kitchen
sahani
plate/s
kisu/visu
knife/ves
uma/nyuma
fork/s
kikombe/vikombe
cup/s
bakuli/bakuli
bowl/s
ubao/mbao
cutting board/s
kijiko/vijiko
spoon/s
chupa
bottle/s
glasi
glass/es
matunda
fruits
vinywaji
drinks
vyakula
foods
friji
fridge/s
jiko/meko
stove/s
joko/majoko
oven/s
matunda kama
fruits like
vinywaji kama
drinks like
vyakula kama
food like
sufuria
pot/s
maikrowevu
microwave/s
jaa/jaa
litter bin
kiungo/viungo
spice/s
muiko/miiko
wooden spoon/s
seredani
charcoal stove/s
buli/mabuli
teapot/s
birika/mabirika
kettle/tub/bath
sinia/masinia
platter/s
chumba cha kulala
bedroom
kitanda/vitanda
bed/s
godoro/magodoro
mattress/es
foronya/maforonya
foam pad/s
shuka
sheet/s
blanketi/mablanketi
blanket/s
mto/mito
pillow/s
kabati la nguo
wardrobe
kompyuta
computer/s
kitabu/vitabu
book/s
nguo
clothe/s
kizingiti cha viatu
shoe rack
deski
desk
chumba cha wageni
guest room
msalani
bathroom
bafu/mabafu
bathroom/s
choo/vyoo
toilet/s
mfereji/mifereji
faucet/s
sinki/sinki
sink/s
bafu la kuogea/mabafu la kuogea
bathtub/s
kioo/vyoo
mirror/s
karatasi la choo
toilet paper
taulo
towel/s
marashi
perfume/s
orofa
floor/s
sehemu ya juu ya nyumba
upstairs
sehemu ya chini ya nyumba
downstairs
kipandio/vipandio
staircase/s
nje
outside
ndani
inside
bustani/mabustani
flower bed/s
sakafu/sakafu
floor/s
simu/simu
phone/s
kitabu/vitabu
book/s
daftari/madaftari
notebook/s
kalamu/kalamu
pen/s
ina
has
kuna
there is/are
ishi;kaa
live; stay
katika/kwenye/ndani ya
in/inside/within
pia
also
kitu/vitu
things
vingi
many
mbalimbali
different/various
tofauti tofauti
different/various
kama
like
kama vile
such as
sehemu
part
nyumba
house
chumba/ vyumba
room/s
vichache
few
Unaishi/unakaa wapi?
Where do you live?
Nyumba yako ina nini? or Nyumba yako ina vitu gani?
What things are in your house?
Ndani ya/katika/ kwenye nyumba yangu kuna vyumba vingi/mbalimbali/tofauti tofauti/vichache, kama …..
In my house there are many various/different/ a few rooms like . . .
sehemu za nyumba
parts of the house