Lesson 40: Locatives: KU/PA/MU Flashcards
Mji wa Nairobi uko Afrika.
The city of Nairobi is in Africa.
Niko nje ya nyumba yangu.
I’m outside my house.
Mimi niko sokoni.
I’m at the market.
Nyinyi mko wapi?
Where are y’all?
Mji wa Nairobi upo Kenya.
The city of Nairobi is in Kenya.
Kalamu yangu ipo juu ya meza.
Your pen is on (top of) the table.
Yeye apo/yupo sokoni.
He/she is in the market.
Upo shuleni?
Are you in the school?
Mpo nchini?
Are y’all in the country?
Lia amo nyumbani.
Lia’s inside the house.
Nguo zangu zimo majini.
The clothes are in the water.
Mimi nimo dukani.
I’m in the store.
Wewe umo darasani?
Are you in the class?
Mimi niko nyumbani.
I’m at home.
Sisi tupo garini.
We are in the car.
Wewe uko wapi?
Where are you?
Nyinyi mumo maktabani?
Are y’all inside the library?
Yeye apo/yupo bewnini.
He/she is at the dorm.
Wao wako nyumbani.
They are at home.