Lesson 33: Weather Flashcards
baridi
cold
joto
warm
wingu/mawingu
cloud/s
mvua
rain
rasharasha;manyunyumanyunyu
light drizzle
upepo/pepo
wind/s
umeme
lightning
radi
thunder
ngurumo za radi
thunderstorm
dhoruba
storm
kimbunga;tufani
heavy storms (hurricanes)
theluji
snow
barafu
ice
umande
dew
ukungu
fog
unyefu;mvuke
humidity
halijoto
temperature
halijoto chini
low temperatures
halijoto juu
high temperatures
nyota
stars
upinde wa mvua; lindi
rainbow
chamchelea
tornado
sayari
planet
jua
sun
mwezi
month
Kuna baridi/joto/mvua.
It is cold/hot/raining.
Hakuna baridi/joto/mvua.
It is not cold/hot/raining.
Hali ya anga namna gani leo?
How is the weather condition today?
Leo kuna joto jingi/sana.
Today it is very hot/warm.
Habari za hali ya anga leo?
How is the weather condition today?
Leo kuna baridi.
The weather is cold.
Habari za hali ya anga jana?
How was the weather condition yesterady?
Habari za hali ya anga kesho?
How will the weather condition be tomorrow?
Wewe unapenda hali ya anga gani?
What kind of weather do you like.
Mimi ninapenda wakati wa baridi.
I like cold weather.
Wewe hupendi hali ya anga hani?
What weather don’t you like?
Sipendi theluji.
I don’t like the snow.
Hali ya hewa; Hali ya anga
weather