Lesson 41: Compass Flashcards
1
Q
dira
A
compass
2
Q
mashariki
A
east
3
Q
magharibi
A
west
4
Q
kaskazini
A
north
5
Q
kusini
A
south
6
Q
kaskazini mashariki
A
northeast
7
Q
kaskazini magharibi
A
northwest
8
Q
kusini mashariki
A
southeast
9
Q
kusini magharibi
A
southwest
10
Q
mashariki ya kati
A
middle east
11
Q
Afrika ya mashariki
A
east africa
12
Q
Afrika ya magharibi
A
west africa
13
Q
Afrika ya kaskazini
A
north africa
14
Q
Afrika ya kusini
A
south africa
15
Q
Afrika ya kati
A
central africa
16
Q
pwani
A
coast
17
Q
magharibi ya kati
A
midwest
18
Q
pwani ya magharibi
A
west coast
19
Q
pwani ya mashariki
A
east coast
20
Q
majimbo ya kusini
A
southern states
21
Q
Unatoka sehemu gani Marekani?
A
Which part of America do you come from?
22
Q
Unaishi sehemu gani (ya) Kansas?
A
Which part of Kansas do you live?