Lesson 27: Decorations Flashcards
pambo/mapambo
decoration/s
miwani
glasses
kipuli/vipuli
earring/s
kipini/vipini
ear decoration/s
mkufu/mikufu
chain/s
kikuba/vikuba
necklace/s
bangili/bangili
bracelet/s
ushanga/shanga
bead/s
kibeti/vibeti/pochi
wallet/s or purse/s
begi/mabegi
handbag/s (big)
marashi/marashi
perfume/s
hina/hina
henna or hand decorations
kidani/vidani
necklace/s
ubani
incense
pete/pete
ring
saa ya mkono
wrist watch
mshipi/mishipi
belt
chanjo/chanjo
tattoo/s
wanja/wanja
eyeliner/s
Umevaa mapambo gani?
What decorations are you wearing?
Nimevaa . . .
I am wearing.
Unapenda mapambo gani?
What decorations do you like?
Ninapenda . . .
I like
Unapenda kuvaa mapambo gani?
What decorations do you like to wear?
Ninapenda kuvaa. . .
I like to wear . . .
Hupendi kuvaa mapambo gani?
What decorations do you not like to wear?
Sipendi kuvaa . . .
I do not like to wear . . .
Hapendi kuvaa mapambo gani?
What decorations does he/she not like to wear?
Hapendi kuvaa . . .
He/she does not like to wear . . .
Unapenda kuvaa mapambo ya aina gani?
What types of decorations do you like to wear?