Lesson 38: Transport Mechanisms Flashcards
vyumbo vya kusafiri
transport mechanisms
motokaa; gari
car
treni
train
ndege
airplana
baiskeli
bicycle
meli
ship
boti
boat
jahazi
small boat (canoe)
lori
semi truck
pikipiki
motorcycle
miguu
legs
matatu; daladala
minibus
basi
bus
teksi
taxi
helikopta
helicopter
bodaboda
bicycle/motorcycle taxi
wanyama
animals
farasi
horse
punda
donkey
ngamia
camel
ng’ombe
cow
uwanja wa ndege
airport
wasafiri
passengers
tiketi
ticket
kituo cha basi
bus stop
kituo cha treni
train stop
stesheni ya basi
bus station
stesheni ya treni
train station
safari
trip
safiri
to travel
mzigo/mizigo
luggage
sehemu ya mizigo
baggage claim
sehemu ya tikieti
ticket counter
vipandio
staircases
chumba cha wasafiri
passenger lounge
wasaidizi wa ndege; wahudumu wa ndege
airline crew
dereva
driver
nahodha
captain
rubani
pilot
tanboi
turnboy
kondakta
conductor
kutumia
to use
mbali
far
ni mbali
it is far
ni mbali kidogo
it is a little far
si mbali
it is not far
si mbali sana
it is not very far
karibu
close
ni karibu
it is close
ni karibu kidogo
it is a little close
si karibu
it is not close
si karibu sana
it is not very close
kila siku
everyday
Ulisafirije?
How did you travel?
Uliendaje?
How did you go?
kutembea
to walk
njia gani?
which way?
kushoto
left
kulia
right