Lesson 24: Adjectives Flashcards
zuri
good
baya
bad
dogo
small
kubwa
big
kizuri/kibaya/kidogo/kikubwa
good/bad/small/big singular KI-VI class
vizuri/vibaya/vidogo/vikubwa
good/bad/small/big plural KI-VI class
zuri/baya/dogo/kubwa
good/bad/small/big singular JI-MA class
mazuri/mabaya/madogo/makubwa
good/bad/small/big plural JI-MA class
chakula kizuri/kibaya/kidogo/kikubwa
good/bad/small/big food singular
vyakula vizuri/vibaya/vidogo/vikubwa
good/bad/small/big food plural
kinywaji kizuri/kibaya/kidogo/kikubwa
good/bad/small/big drink singular
vinywaji vizuri/vibaya/vidogo/vikubwa
good/bad/small/big drinks plural
tunda zuri/baya/dogo/kubwa
good/bad/small/big fruit singular
matunda mazuri/mabaya/madogo/makubwa
good/bad/small/big fruits plural
Chakula hiki ni kizuri/kibaya/kidogo/kikubwa.
This (singular) food is good.
Vyakula hivi ni vizuri/vibaya/vidogo/vikubwa
These (plural) foods are good/bad/small/big.
Kinywaji hiki ni kizuri/kibaya/kidogo/kikubwa.
This (singular) drink is good/bad/small/big.
Vinywaji hivi ni vizuri/vibaya/vidogo/vikubwa
These (plural) drinks are good/bad/small/big.
Tunda hili ni zuri/baya/dogo/kubwa
This (singular) fruit is good/bad/small/big.
Matunda haya ni mazuri/mabaya/madogo/makubwa
These (plural) fruits are good/bad/small/big.