Lesson 3: Classroom Vocabulary Flashcards
mlango/milango
door/s
dirisha/madirisha
window/s
taa/taa
light/s
ubao/mbao
board/s
kompyuta/kompyuta
computer/s
kiti/viti
chair/s
meza/meza
table/s
kalamu/kalamu
pen/s
penseli/penseli
pencil/s
mkoba/mikoba
backpack/s
mfuko/mifuko
backpack/s
kitabu/vitabu
book/s
daftari/madaftari
notebook/s
kabati/makabati
cupboard/s
rula/rula
ruler/s
ufutio/futio
eraser/s
ukuta/kuta
wall/s
sakafu/sakafu
floor/s
dari/dari
ceiling/s
paa/paa
roof/s
simu/simu
telephone/s
karatasi/karatasi
paper/s
jaa/jaa
trash can/s
chaki/chaki
chalk
zulia/mazulia
carpet/s
swichi
light switch
swichi ya feni
fan switch
swichi ya taa
light swich
mwanafunzi/wanafunzi
student/s
mwalimu/walimu
teacher/s
kalenda/kalenda
calendar/s
saa/saa
clock/s
saa ya ukuta
wall clock
ramani/ramani
map/s
kiyoyozi/viyoyozi
air conditioner/s
picha/picha
picture/s
mchoro/michoro
drawing/s
pazia/mapazia
curtain/s
runinga/televisheni
television/s
deski/dawati
desk/s
gazeti/magazeti
newspaper/s
Darasa hili lina vitu gani?
What things does this classroom have?
Hii ni nini?
What is this?
Huu ni nini?
What is this?
Hupendi mapambo gani?
Which decorations don’t you like?
Darasa hili lina meza, mkoba …
This classroom has a table, backpack…
Hii ni meza.
This is a table.
Huu ni ukuta.
This is a wall.
Sipendi meza, mkoba …
I don’t like the table, the backpack…
kengele/kengele
bell/s
chati/jedwali
chart/s
bendera/bendera
flag/s
bendera ya taifa
national flag
mlinzi/walinzi
security guard/s
ofisi
office
jarida/majarida
journal/s
barua/barua
letter/s
makala/makala
article/s
insha/insha
essay/s
kumbukumbu/kumbukumbu
record/s
wino/wino
ink/inks