numbers Flashcards
0
Q
6 months
A
miezi sita
1
Q
two loaves
A
mikate miwili
2
Q
four large animals
A
wanyama wakubwa wanne
3
Q
one able cook
A
mpisha hodari mmoja
4
Q
eleven chairs
A
viti kumi na kimoja
5
Q
these 18 small children
A
watoto wadogo kumi na wanane hawa
6
Q
these five years
A
miaka mitanu hii
7
Q
twenty cups are enough
A
vikumbe ishirini vinatosha
8
Q
i bought these four new books
A
nilinunua vitabu vipya vinne hivi
9
Q
one person
A
mtu mmoja
10
Q
two trees
A
miti miwili
11
Q
three rooms
A
vyumba vitatu
12
Q
four children
A
watoto wanne
13
Q
six nails
A
misumari sita
14
Q
eight books
A
vitabu wanane