Adjectives Flashcards

0
Q

good, of character

A
  • ema
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
1
Q

honest, trustworthy, faithful

A
  • aminifu
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

thin, narrow, slender

A
  • embamba
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

red

A
  • ekundu
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

light, easy

A
  • epesi
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

cunning, clever

A
  • erevu
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

white, light colored

A
  • eupe
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

dark, black

A
  • eusi
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

many, much

A
  • ingi
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

some, another, others

A
  • ingine
How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

A tall, cunning thief

A

Mwizi mrefu mwerevu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

many european children

A

watoto wazungu wengi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

a few trustworthy children

A

watoto waminifu wachache

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

a narrow red door

A

Mlango mwembamba mwekundu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

another brown loaf

A

mkate mweusi mwingine

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

many tall, slender trees

A

miti mirefu myembamba mingi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

bring another good chair

A

lete kiti kizuri kingine

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
17
Q

that short person is waiting

A

mfupi yule anangoja

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
18
Q

how many (people) want to go

A

wangapi wanataka kwenda?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
19
Q

i want some other (people)

A

ninataka wengine

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
20
Q

this long narrow river

A

mto mrefu mwembamba huu

21
Q

that old man knows much good agriculture.

A

mzee yule anajua kilimo kizuri kingi

22
Q

bring another large red cup

A

lete kikumbe chekundu kikubwa kingine

23
Q

how many small white mosquito nets?

A

vyandalua vidogo vyeupe vingapi?

24
Q

that big fire is putting out much black smoke

A

moto mkubwa ule unatoamoshi mweusi mwingi

25
Q

that exam was very easy

A

mtihani ule ulikuwa mwepesi sana

26
Q

that cunning animal is eating those red plants

A

mnyama mwerevu yule anakula mimea myekundu ile

27
Q

i need other efficient laborers

A

ninahitaji vibarua waminifu wengine

28
Q

we saw a fierce black rhinoceros in serengeti

A

tuliona kifaru mweusi mkali serengeti

29
Q

i am trying to learn this swahili

A

ninajaribu kujifunza kiswahili hiki

30
Q

some children are playing a game

A

watoto wengine wanacheza mchezo

31
Q

he went to town to buy potatoes

A

alikwenda mijini kununua viazi

32
Q

many guests are coming to eat right here, today

A

wageni wengi wanakuja kula hapa leo

33
Q

we need other youths to help to catch that cunning animal

A

tunahitaji vijana wengine kusaidia kukamata mnyama mwerevu yule

34
Q

he got a very thin nail in the foot

A

alipata msumari mwembamba sana mguuni

35
Q

that old man was a very good person.

A

mzee yule alikuwa mwema sana

36
Q

we put some red cloth in the room

A

tuliweka kitambaa chekundu chumbani

37
Q

he needs a faithful animal to stay in the house.

A

anahitaji mnyama mwamanifu kukaa nyumbani

38
Q

i need a few dark bread loaves

A

ninahitaji mikate myeusi michache

39
Q

some inhabitants lived there many years

A

wenyeji wengine walikaa pale miaka mingi

40
Q

nilinunua kitabu kingine kile

A

i bought that other book

41
Q

vitu vingine vilikuwa vyekundo, vingine vilikuwa vyeusi

A

some things were red, others were black

42
Q

wanawake wengi walikuwa mjini, wengine walikaa nyumbani

A

many women were in town, others stayed at home.

43
Q

unaweza kuchukua mizigo myepesi hii; ile inaweza kubaki hapa.

A

you can carry these light suitcases, those can remain here.

44
Q

Mtumishi mwamanifu anaweza kupata mshahara mkubwa

A

a trustworthy/ honest servant can earn a big wage

45
Q

wadudu weupe wale wanakula miti mibovu

A

those white bugs are eating rotten trees

46
Q

wageni wengi walifika Tanzania mwaka ule

A

many visitors arrived to tanzania that year

47
Q

mti mrefu mwembamba ulianguka pale.

A

the tall thin tree fell right there

48
Q

lete chakula kingine hapa!

A

bring some more food here!

49
Q

usafishe viatu vyeusi vingine vile

A

would you clean those other black shoes?