84 - Vipepeo Flashcards

1
Q

If you look at the butterfly you will see that his body is in three parts: the head, the thorax (chest), and the abdomen (stomach).

A

Kama ukimtazama kipepeo, utaona kwamba mwili wake ni katika sehemu tatu; kichwa, kifua, na tumbo.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

His head has two eyes, one on Each side. These eyes are of great wonder (are extremely wonderful). If you were able to see them from very close, you would see that each eye is not really one eye, like that of a person, but is really many small eyes, about one thousand seven hundred altogether.

A

Kichwa chake kina macho mawili, moja kila upande. Macho hayo ni ya ajabu sana. Kama ungeweza kuyatazama kwa karibu sana, ungeweza kuona kwamba kila jicho si jicho moja hasa, Kama ile la mtu, lakini ni kwa kweli macho madogo mengi, kama elfu moja na Mia Saba yaliyo pamoja.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

Therefore this insect is able to see forwards and backwards at one time. A person must turn his head if he wants to see behind him, but the butterfly can see on all sides without turning the head.

A

Kwa hiyo mdudu huyu anaweza kutazama mbele na nyuma kwa mara moja. Mtu lazima ageuze kichwa chake kama akitaka kuona nyuma yake, lakini kipepeo aweza kuona pande zote bila kugeuza kichwa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

Many times (the butterfly) is seen standing on a flower, and if you are able to stand and keep extremely quiet so that it cannot hear you, you will see its long tongue being inserted into that flower, the butterfly searching for nectar (honey).

A

Mara nyingi huonekana akisimama juu ya ua, na Kama ukiweza kusimama na kunyamaza kabisa asikusikie, utaona ulimi wake mrefu ukiingizwa ndani ya lile ua, kipepeo akitafuta asali.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

At the time of standing on the flower, you will see its wings open with many colors. These colors help to hide the butterfly so that it is not seen by other insects or birds who would want to eat it.

A

Wakati wa kusimama uani, utaona mabawa yake wazi yenye rangi nyingi. Rangi hizo husaidia kumficha kipepeo asionekane na wadudu wengine au ndege ambao wangapenda kumla.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

The butterfly is indeed an insect which is the nicest of all the world. There are many kinds of butterflies in this country, some large, some small, but all have lovely colors. Any day, especially after rain, you will see hen flying here and there by flowers.

A

Kipepeo ndiye mdudu aliye mzuri kupita wote katika ulimwengu. Ziko namna nyingi za vipepeo katika nchi hii, wengine wakubwa, wengine, wadogo, lakini wote wenye rangi nzuri. Siku yo yote, hasa baada mvua, utawaona wakiruka huko na huko penye maua.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly