ki-vi Flashcards
kiazi, viazi
potatoes
kiatu, viatu
shoe, s
box of matches, lighter
kiberiti
head
kichwa, vichwa
finger or toe
kidole, vidole
a sore or ulcer
kidonda, vidonda
pill, tablet
kidonge, vidonge
kijiji, vijiji
village
spoon, tea spoon
kijiko, vijiko
basket
kikapu, vikapu
a smoker’s pipe
kiko, viko
cup
kikumbe, vikumbe
hill
kilima, vilima
aggriculture
kilimo
mirror, sheet of glass
kioo, vioo
piece, portion, stint, slice
kipande, vipande
a measuring device of any kind
kipimo, vipimo
saucer
kisahani, visahani
a well, water hole
kisima, visima
knife
kisu, visu
book
kitabu, vitabu
bed
kitanda, vitanda
cloth, material
kitambaa, vitambaa
chair
kiti, viti
something
kitu, vitu
food
chakula, vyakula
mosquito net
chandalua, vyandalua
a note, chit, certificate, reference of work, etc…
cheti, vyeti
tool, container, vessel of any kind, (also used for furniture)
chombo, vyombo
metal piece, iron piece
chombo, vyombo
lav
choo, vyoo
chumba, vyumba
room
hippo, or a whip
kiboko, viboko
rhino
kifaru, vifaru
day-labourer
kibarua, vibarua
a youth
kijana, vijana
a blind person
kipofu, vipofu
a lame, or cripple
kiwete, viwete
deaf person
kiziwi, viziwi
club, society, association
chama, vyama
quantity, amt
kiasi, (viasi)
shed, hut, tent, sukkah
kibanda, vibanda
small handle
kipini, vipini
a patch
kiraka, viraka
island
kisiwa, visiwa
onion
kitunguu, vitunguu
shade, shadow
kivuli, vivuli
workshop
kianda, viwanda
a plot of ground, pitch
kiwanja, viwanja
cork, stopper
kizibo, vizibo