Exercise 58 - Relatives, Chapter 59 Flashcards

1
Q

The cows which were in that field have all died

A

Ng’ombe (waliokuwa / ambao walikuwa) katika shamba lile wamekufa wote.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

The water which you have put on the stove has boiled.

A

Maji uliyoweka jikoni yamechemka OR maji uliyoyaweka / ambayo uliweka jikoni yamechemka.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

The pencil which you gave me is broken

A

Kalamu uliyonipa imevunjika OR kalamu ambayo ulinipa imevunjika.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

The wages which are being paid are this month’s

A

Mishahara inayolipwa ni ya mwezi huu OR mishahara ambayo inalipwa mwezi huu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

The children whom you see live in thar village

A

Watoto unaowaona wanakaa katika kijiji kile OR watoto ambao unawaona wanakaa…

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

Those who want to go to Nairobi are who?

A

Wale wanaotaka kwenda Nairobi ni nani OR Wale ambao wanataka kwenda…

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

The cloth which I bought the other day was very cheap.

A

Kitambaa nilichonunua (nilichokinunua) juzijuzi kilikuwa rahisi sana OR Kitambaa ambacho nilinunua (nilikinunua)…

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

The seeds which I am planting were bought in the store which opened in town.

A

Mbegu ninazopanda (ninazozipanda) zilinunuliwa katika duka liliofunguliwa mjini OR begu ambazo ninapanda (ninazipanda)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

In the days which passed, people lived in the houses which you see there.

A

Katika siku zilizopita, watu walikaa katika nyumba unazoona (unazoziona) kule OR katika sizu ambazo zilipata, watu walikaa katika nyumba ambazo unaona (unaziona) kule.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

The car which passed me knocked down that old who is lying at the side of the road.

A

Motokaa iliyonipita / ambayo ilinipta ilimwangusha mzee yule ambaye analala kando ya barabara.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

The car which I bought

A

Gari nililolinunua

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

The children who were taught by this teacher

A

Watoto waliofundishwa na mwalimu huyu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

The examination which was difficult

A

Mtihiani uliokuwa mgumu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

The room you’re cleaning

A

Chumba unachokisafisha

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

The visitor who is arriving today

A

Mgeni anayefika leo

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

The clothes you wore

A

Nguo ulizozivaa

17
Q

The leg which broke

A

Mguu uliovunjika

18
Q

The mountains which were visible

A

Milima iliyoonekana

19
Q

The knife which was lost

A

Kisu kilichopotea

20
Q

That one who is called Hamisi

A

Yule anayeitwa Hamisi

21
Q

The telegram I am sending

A

Simu ninayoipeleka

22
Q

The exam which they tried

A

Mtihani walioujaribu

23
Q

The old man who died

A

Mzee aliyekufa

24
Q

We who were strangers

A

Sisi tuliokuwa wageni

25
The knives which were sharp
Visu vilivyokuwa vikali
26
The tree which fell
Mti ulioanguka
27
The newspaper you are reading
Gazetti unalolisoma
28
The game the children are playing
Mchezo watoto wanaoucheza
29
The rope which came apart
Kamba iliyokatika
30
The medicine you're using now
Dawa unayoitumia sasa