Exercise 56 - Indeclinables Part 2, Chapter 48 Flashcards
My vehicle has broken down near the river.
Gari langu limeharibika karibu na mto.
He doesn’t know either swahili or English.
Hajui wala swahili wa kiingareza
Whether we stay or not, it’s all the same to him
Tukikaa, tusikae, ni mamoja kwake
They have come far alone, without any help at all
Wamekuja mbali peke yao bila msaada wo wote
We have bought many different things because we live far from town
Tumenunua vitu mbalimbali vingi, kwa sababu (ajili, kuwa) tunaishi mbali na mji
After leaving Nairobi, we continued more than 50 miles
Baada ya kuondoka Nairobi, tuliendelea zaida ya maili hamsini
Have you not heard about my examination?
Hujasikia habari ya mtihani wangu?
Why don’t you sit in the shade instead of standing in the fierce sun
Kwa nini hukai kivulini badala ya kusimama katika jua kali?
Come see me before you go
Njoo unione kabla hujaondoka
Let’s go and have a chat together
Twende tuzumguze pamoja
The doc lives near town
Mganga anakaa karibu na mji
He forgot to explain to me about that club
Alisahau kunieleza habari ya chama kile
Go farther ahead
Nenda mbele zaidi
You can either go alone or together with a servant
Unaweza kuenda ama peke yako ama pamoja na mtumishi
I have come instead of him
Nimekuja badala yake