85 - Pango Flashcards

1
Q

We continued to beg her until she agreed saying, As you know, the Bwana is extremely strict and I don’t want to be beaten on your account. If you want to go in, just go in. But if my Bwana comes back before you have come out, I shall tell him that you entered by force without my permission. If you agree thus, go in. If you do not agree, be on your way, don’t go on bothering me.

A

Tukaendelea kumwomba mpaka akakubali akisema, Kama mjuavyo, Bwana ni mkali kabisa na sitaki kupigwa kwa ajili yenu. Mkitaka kuingia, ingieni tu. Lakini Kama Bwana wangu akirudi kabla hamjatoka, nitamwambia kwamba mliingia kwa nguvu bila ruhusa yangu. Mkikubali hivyo, ingieni. Msipokubali, nendeni zenu, msiendelee kunisumbua.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

We thanked her and went towards the cave. When we arrived at the cave, we found a very large stone which had fallen in the entrance and which prevented us from being able to enter. I told my companion, I say, help me to remove this rock so that we enter. So we tried together to remove that Boulder and we succeeded with difficulty. When we entered my companion lit his pressure lamp and we went right inside.

A

Tukamshukuru tukaenda kwenye pango. Tulipofika pangoni, tukaokota jiwe kubwa sana lililoanguga mlangoni lililotuzuia tusiweze kuingia. Nikamwambia mwenzangu, Ebu, nisaidie kuondoa jiwe hili tuweze kuingia. Basi, tukajaribu pamoja kuliondoa jiwe lile tukafaulu kwa shida. Tulipoingia mwenzangu akawasha karabai yake tukaingia ndani kabisa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

When we arrived At the home of that owner of the field with the cave we met his wife, the bwana himself not being about. We asked his wife permission to enter the cave and she refused, saying, My Bwana does not want anyone entering this cave.

A

Tulipofika nyumbani kwa yule mwenye shamba lililo na pango tulimkuta mke wake tu, bwana mwenyewe alikuwa hayuko. Tukamwona mke wake atupe ruhusa tuingie pangoni akakataa, akisema, Bwana wangu hataki mtu yeyote aingie pango hili.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly