55 - Negative Conditional Flashcards
You did not see me Sunday because I was not working that day.
Hukuniona jumapili kwa sababu sikuwa nikifanya kazi siku ule
These people will not be playing on Tuesday
Watu hawa hawatakuwa wakicheza jumanne
Y’all didn’t succeed your examination because you have not been trying hard.
Hamkufaulu mtihani kwa sababu mmekuwa hamjaribu sana.
This door has not been closing propel for a long time.
Mlango huu umekuwa haukifungiki vizuri kwa muda mrefu
Whether she comes or not, it is all the same to me
Akija, asije. Ni mamoja kwangu.
Whether we succeed or not, it’s all the same.
Tukifaulu, tusifaulu. Ni mamoja.
I don’t know whether to go or not.
Sijui nikienda, nisiende.
Whether y’all know this matter or not, it is up to you.
Mkijua, msijue jambo hili, ni juu yenu.
Unless we try hard, we shall not succeed.
Tisipojaribu sana, hatutafaulu (or) hatutajaribu sana, hatutafaulu.
I saw hem on the road, but they were not yet running.
Niliwaona njiani, lakini hawakuwa wakikimbia OR walikuwa hawakimbii.
If at the beginning you do not succeed, try again.
Kama mwanzoni hufaulu OR usipofaulu, jaribu tena.
If you all do not read books, how will you all know anything.
Kama hamsomi vitabu mtajuaje cho chote. OR msiposoma vitabu, mtajuaje cho chote?
Whether we like it or not
Tukipenda tusipende