m-wa Flashcards
person, people
mtu, watu
doctor
mganga, waganga
visitor, guest, stranger
mgeni, wageni
sick person
mgonjwa, wagonjwa
elder
mzee, wazee
child
mtoto, watoto
a cook
mpishi, wapishi
servant
mtumishi, watumishi
insect or creepy-crawly
mdudu, wadudu
animal
mnyama, wanyama
son/daughter
mwana, wana
pupil/student
mwanafunzi, wanafunzi
teacher
mwalimu, walimu
inhabitant, houselholder
mwenyeji, wenyeji
thief
Mwizi, wezi
woman
mwanamke, wanawake
man
mwanamume, wanaume
hunter
mwindaji, wawindaji
pastor, shepherd, herdsman
mchungaji, wachungaji
wife
mke, wake
a Christian
mkristo, wakristo
a farmer, cultivator
mkulima, wakulima
a foreman, overseer
mnyapara, wanyapara
husband
mume, waume
countryman, citizen
mwananchi, wananchi
bricklayer, stone mason
mwashi, washi