KIU L Flashcards
1
Q
Many Trees
A
Miti Mingi
2
Q
Many Rooms
A
Vyumba Vingi
3
Q
Many Cars
A
Magari Mengi
4
Q
Many Houses
A
Nyumba Nyingi
5
Q
Many Keys
A
Funguo Nyingi
6
Q
Many Places
A
Pahali Pengi
7
Q
Happiness
A
Furaha
8
Q
When it rained, many walls of the house collapsed.
A
Mvua iliponyesha kuta nyingi za nyumba zilibomoka.
9
Q
Other Child
A
Mtoto Mwingine
10
Q
Other Children
A
Watoto Wengine
11
Q
Other Room
A
Chumba Kingine
12
Q
Other Rooms
A
Vyumba Vingine
13
Q
Other Car
A
Gari Lingine
Gari Jingine
14
Q
Other Cars
A
Magari Mengine
15
Q
Other Tree
A
Mti Mwingine
16
Q
Other Trees
A
Miti Mingine
17
Q
Other House
A
Nyumba Nyingine
Nyumba Ingine
18
Q
Other Houses
A
Nyumba Nyingine
Nyumba Zingine
19
Q
Other Key
A
Ufunguo Mwingine
20
Q
Other Keys
A
Funguo Nyingine
21
Q
Other Place
A
Pahali Pengine
22
Q
Other Places
A
Pahali Pengine
23
Q
Snow
A
Theluji
24
Q
Easter
A
Pasaka
25
Christmas
Krismasi
26
Normally, there is the Kiangazi season from January until middle of March.
Kwa kawaida, kuna msimu wa Kiangazi toka Januari hadi katikati ya Machi.
27
Many People
Watu Wengi