Edward 13 Flashcards
0
Q
To sell
A
Kuuza
1
Q
Birthday
A
Siku kuu ya uzao
2
Q
Both
A
Vyote
3
Q
For one hour
A
Kwa saa moja
4
Q
To repair
A
Kurekebisha
5
Q
To decorate
A
Kupamba
6
Q
I am glad to meet you
A
Nimefurahi kukutana na wewe or
Nimefurahi kukutana nawe
7
Q
I am glad to see you
A
Nimefurahi kukuona
8
Q
Jesus loves me
A
Yesu ananipenda
9
Q
I want to see you
A
Ninataka kukuona
10
Q
I saw Dr. Smith today
A
Nilimwona daktari Smith leo
11
Q
Two times
A
Mara mbili
12
Q
Can (noun)
A
Mkebe
Mikebe
13
Q
Umbrella
A
Mwavuli
Miavuli
14
Q
Bag
A
Mfuko
Mifuko
15
Q
A
Mfuko
Mifuko
16
Q
Nail
A
Msumari
Misumari
17
Q
Spear
A
Mkuki
Mikuki
18
Q
Tail
A
Mkia
Mikia
19
Q
Faucet, Pipe or Trench
A
Mfereji
Mifereji
20
Q
Carpet
A
Mkeka
Mikeka
21
Q
Pillow
A
Mto
Mito
22
Q
River
A
Mto
Mito
23
Q
So that
A
Ili
24
Q
He wants to have good health
A
Anataka kuwa na afia nzuri
25
Q
Some
A
Fulani
26
Q
To wait
A
Kungoja