Edward 19 Flashcards
Sandy usually decides
Sandy huamua
Decision
Uamuzi
Sandy usually does not decide
Sandy haamui
Not far
Si mbali
Right away
Moja kwa moja
Soon
Hivi karibuni
Right now
Hivi sasa
Party
Karamu
She is 13 years old
Ana miaka kumi na mitatu
Ana umri wa miaka kumi na mitatu
How old are you?
Una miaka mingapi
Una umri gani
To talk
Kuzungumza
Kuongea
Can you speak Swahili?
Unazungumza kiswahili?
Unaweza kuongea kiswahili?
Unajua kiswahili?
You will have a journey soon
Utakuwa na safari hivi karibuni
You will not have a journey soon
Hutakuwa na safari hivi karibuni
We will have a party this weekend
Tutakuwa na karamu wikendi hii
You (plural) will have a long life
Mtakuwa na maisha marefu
You (plural) will not have a long life plural
Hamtakuwa na maisha marefu
They will have a good time
Watakuwa na wakati nzuri
They will not have a good time
Hawatakuwa na wakati nzuri
I always have a meeting every day
Mimi huwa na mkutano kila siku
I do not usually have a meeting every day
Mimi siwi na mkutano kila siku
You usually have a lot of work every day
Wewe huwa na kazi nyingi kila siku
You usually do not have a lot of work every day
Wewe huwi na kazi nyingi kila siku.
To decide
Kuamua