Edward 7 Flashcards
1
Q
How will you go to Nairobi?
A
Utaendaje katika Nairobi?
2
Q
How is today?
A
Namna gani leo?
3
Q
How did you sleep?
A
Ulilalaje?
4
Q
How have you woken up?
A
Umeamkaje?
5
Q
Are you ready?
A
Ukotayari?
6
Q
To shower or bath
A
Kuoga
7
Q
To brush teeth
A
Kupiga meno mswaki
8
Q
Toothpaste
A
Dawa ya meno
9
Q
To comb hair
A
Kuchana nywele
10
Q
Sermon
A
Hubiri
Mahubiri
11
Q
To invite or welcome
A
Kukaribisha
12
Q
Quarter
A
Robo
13
Q
Less
A
Kasoro
14
Q
How is the patient doing?
A
Mgonjwa anaendeleaje?
Mgonjwa anaendelea vipi?
Mgonjwa anaendelea jinsi gani?
Mgonjwa anaendelea namna gani?
15
Q
As usual
A
Kama kawaida