Edward 12 Flashcards
On time
Kwa saa
I do not know exactly what i will be doing
Sijui kamili nitafanya nini?
Bad Infection or Sepsis
ambukizo baya
So that
Ili
End
Mwisho
At the end
Mwishoni
Beginning
Mwanzo
At the beginning
Mwanzoni
Old
Kuukuu (Things)
Zee (People)
Foreign
Kizungu
To bargain
Kupiga bei
To pitch a tent
Kupiga hema
To camp
Kupiga kambi
To toot the horn
Kupiga honi
To print, type or publish
Kupiga chapa
To knock at the door
Kupiga hodi
To iron
Kupiga nguo pasi
To polish shoes
Kupiga viatu rangi
To kiss
Kupiga busu
To report
Kupiga ripoti
To polish
Kupiga deki
To make noise
Kupiga kelele
To play the drum
Kupiga ngoma
To give up
Kupiga moyo konde
Literally to hit the heart with a fist
To make a u-turn
Kupiga kona
Literally to hit the corner
To hit or kick the ball
Kupiga mpira kwa migu