Edward Sep 22 Flashcards
I have never eaten kimchee
Sijawahi kula kimchee
Have you ever visited Mogadishu
Umewahi kutembelea Mogadishu
Last year correction
Mwaka uliopita
Your coming is our blessing.
Kuja kwako ni baraka kwetu
Your coming was a blessing to us
Kuja kwako kulikuwa baraka kwetu
Kuja kwako kakukua baraka kwetu
The repairing of this house needed a lot of time.
Kurekebisha nuymba hii kulihitaji wakati mrefu.
Helping patients need perseverance
Kuwasaidia wagonjwa kunahitaji uvumilivu
The coming of the rains reminds the farmers that they need to prepare the farms.
Kuja kwa mvua kunawakumbusha wakulima kwamba wanahitaji watayarishe mashamba.
Her cooking is good.
Kupika kwake ni kuzuri.
Their driving was bad when we saw them.
Kuendesha kwao kulikuwa kubaya tulipowaona.
I do not like the breathing of this patient. He needs help.
Sipendi kupumua kwa mgonjwa huyu. Anahitaji usaidizi.
Talking about the patients after visiting them is important.
Kuongea kuhusu wagonjwa baada ya kuwatembelea ni muhimu.
Taking medicine and following the doctor’s advise can help the patients get better.
Kumeza dawa na kufuata ushauri wa daktari kunaweza kuwasaidia wagonjwa kupona.
Order (doctor’s order)
Agizo
Maagizo
You need to follow the orders of the doctor if you want to get better
Unahitaji ufuate maagizo ya daktari ukitaka kupona