KIU K Flashcards
Grandmother
Bibi
Bibi
Paternal Uncle
Baba Mkubwa
Baba Mdogo
Paternal Aunt
Shangazi
Mashangazi
Maternal Aunt
Mama Mkubwa
Mama Mdogo
Maternal Uncle
Mjomba
Wajomba
Party
Sherehe (N)
Karamu (N)
Youth
Kijana
Vijana
Guard
Mlinzi
Walinzi
Pilot
Rubani
Marubani
Carpenter
Seremala
Maseremala
Accountant
Mhasibu
Wahasibu
Date (of the month)
Tarehe (N)
Holiday (Vacation)
Likizo (N)
Subjects or Lessons
Somo
Masomo
I am not coming.
Siji
Just now
Immediately
Sasa hivi
Up to now
Mpaka sasa
Seller
Muuzaji
Wauzaji
Buyer
Mnunuzi
Wanunuzi
Waiter
Mhudumu
Wahudumu
Customer
Mteja
Wateja
Grandfather
Babu
Babu
Envelope
Bahasha (N)
Wild Animals
Wanyama Pori
Crocodile
Mamba (N)
Direction
Mwelekeo
Mielekeo
True or False
Kweli ou Uongo
Boxing
Ngumi
Fishing
Kuvua Samaki
What entertainment do you prefer?
Unapendelea burudani gani?