KIU C Flashcards
Who is this (person)?
Huyu ni nani?
Who are these (people)?
Hawa ni nani?
Who are those (people)?
Wale ni nani?
What is this?
Hii ni nini?
What are these?
Hizi ni nini?
What is that?
Ile ni nini?
What are those?
Zile ni nini?
What color is this?
Hii ni rangi gani?
How large is it?
Hii inaukubwa gani?
How small is it?
Hii inaudogo gani?
Did I say that correctly?
Nimeisema hiyo kwa usahihi?
Your turn
Zamu yako
Yesterday, we learned different things.
Jana, tulijifunza mambo mbalimbali.
Who is that (person)?
Yule ni nani?
I love Lord Jesus.
Ninampenda Bwana Yesu.
We bring you greetings from our church in America.
Tunawaletea salamu kutoka kanisani kwetu Amerika.
We are missionaries with AIM.
Sisi ni wamishionari wa Africa Inland Mission.
We have been in Kenya for 5 years.
Tumekuwa Kenya kwa miaka mitano.
We love Kenya and we love Kenyans.
Tunaipenda Kenya na tunawapenda Wakenya.
There is no difference.
Hakuna tofauti.
Not true
Siyo kweli
Classroom (place) is dirty.
Darasani ni pachafu
They live on our street
Wanakaa mtaani kwetu.
How much (money) is it to send a letter to America?
Kupeleka barua America ni shillingi ngapi?