Edward 22 Flashcards
Shwari?
Literally Peaceful or Calm?
Response: Shwari
Mambo
Literally things. Casual greeting.
Reponse: Poa
Can you help me?
Unaweza kunisaidia?
I don’t understand, can you repeat that please.
Sialewi, unaweza kurudia hiyo tafadhali.
Please say it more clearly.
Iseme vizuri zaidi.
Please say it more slowly.
Iseme kwa taratibu zaidi.
Iseme polepole zaidi.
Please say it louder?
Iseme kwa sauti zaidi.
May I have the bill? (I am asking for the bill)
Naomba bili.
Thank you for good service.
Asante kwa huduma nzuri.
Thank you for giving thanks.
Asante kwa kushukuru.
I am hungry. I am asking to order food.
Nina njaa. Naomba kuagiza chakula.
I am thirsty. I am asking to order drinks.
Nina kiu. Naomba kuagiza vinywaji.
Food is very good.
Food is delicious.
Chakula ni kizuri sana.
Chakula ni kitamu sana.
I am not Chinese. I am American.
We are not Chinese. We are American.
Mimi siye mchina. Mimi ni Marekani.
Sisi sio wachina. Sisi ni Wamarekani.
Too expensive (big price). Lower the price please.
Bei kubwa. Punguza bei tafadhali.
I will give you (singular) 3000.
I will give you (plural)
I will give him / her
I will give them
Nitakupa elfu tatu.
Nitawapa elfu tatu.
Nitampa elfu tatu.
Nitawapa elfu tatu ou Nitawapeni elfu tatu.
Do you have different colors?
Una rangi mbalimbali?
Do you have different sizes?
Una ukubwa mbalimbali?
Which size do you have?
Una size gani?
What is your size?
Wewe namba ngapi?
Size yako gani?
I am not a visitor. I am a resident. Don’t give me the visitor price. Please lower the price.
Mimi, sio mgeni. Mimi ni mwenyeji. Usinipe bei ya mzungu. Punguza bei tafadhali.
I don’t have money today. I will give you more money some other day.
Leo sina pesa. Nitakupa pesa zaidi siku nyingine.
I need these clothes.
Ninahitaji nguo hizi.