Edward 20 Flashcards
0
Q
He got into an accident
A
Alipata ajali
1
Q
To get
A
Kupata
2
Q
Pieces of Pineapple
A
Vipande vya nanasi
3
Q
Other Patient
A
M / Wa
Mgonjwa Mwingine
Wagonjwa wengine
4
Q
Other Book
A
Ki / Vi
Kitabu kingine
Vitabu vingine
5
Q
Other Bread
A
M / Mi
Mkate mwingine
Mikate mingine
6
Q
Other Fruit
A
Ji / Ma
Tunda jingine
Matunda mengine
7
Q
Other Table
A
N Class Meza ingine Meza zingine Singular and Plural are Same Linking Articles are ya / za
8
Q
Other Place
A
Pa Class
Pahali pengine
9
Q
Injection or Needle
A
Sindano
10
Q
Pencil
A
Penseli
11
Q
Pen
A
Kalamu
12
Q
Soap
A
Sabuni
13
Q
Bell
A
Kengele
14
Q
Candy
A
Peremende