Edward 5 Flashcards
0
Q
No worries
A
Hakuna wasi wasi
1
Q
Well (adjective)
A
Vijuri
Vyema
2
Q
Badly
A
Vibaya
3
Q
Difficult
A
Vigumu
4
Q
Saturday
A
Jumamosi
5
Q
Sunday
A
Jumapili
6
Q
Monday
A
Jumatatu
7
Q
Tuesday
A
Jumanne
8
Q
Wednesday
A
Jumatano
9
Q
Thursday
A
Alhamisi
10
Q
Friday
A
Ijumaa
11
Q
Day before yesterday
A
Juzi
12
Q
Day after tomorrow
A
Kesho kutwa
13
Q
What day is today?
A
Je, leo ni siku gani?
14
Q
What day was yesterday?
A
Je, jana ilikuwa siku gani?
15
Q
What day is tomorrow?
A
Je, kesho itakuwa siku gani?
16
Q
What day will you go to church?
A
Je, utaenda kanisani siku gani?
18
Q
There is no taste in ugali
A
Hakuna ladha katika ugali
19
Q
Indefinite Tense Ninapenda Unapenda Anapenda Tunapenda Mnapenda Wanapenda
A
Napenda Wapenda Apenda Twapenda Mwapenda Wapenda
20
Q
Indefinite Tense
They are eating escargot now
A
Wala escargot sasa
21
Q
Indefinite Tense
I am drinking hot water now
A
Nanywa maji moto sasa
22
Q
Americans want to lose weight
A
Waamerika wanataka kupunguza uzito