Edward 14 Flashcards
0
Q
Prayer Breakfast
A
Maombi ya chakula cha asubuhi
1
Q
With Joy
A
Kwa Furaha
2
Q
So that
A
Ili
3
Q
Service
A
Ibada
Ibada
4
Q
Preacher
A
Mhubiri
Wahubiri
5
Q
Chapter
A
Mlango
Milango
6
Q
Door or Gate
A
Mlango
Milango
7
Q
That
A
Kwamba
8
Q
Not yet
A
Bado
9
Q
To test, examine
A
Kupima
10
Q
I would like to test your heart
A
Ningependa kupima moyo wako
11
Q
Turn left please
A
Geuka kushoto tafadhali
Ugeuke kushoto
12
Q
Please sit
A
Keti tafadhali
Uketi
13
Q
Lie down please
A
Lala chini tafadhali
Ulale chini
14
Q
Drum or Barrel
A
Pipa
Mapipa