Edward 18 Flashcards
He is 67 years old
Ana miaka sitini na saba
Please come
Uje
Mje
Njoo (more polite)
Njooni (more polite plural)
Please go
Uende
Mwende
Nenda (more polite)
Nendeni (more polite plural)
I am not sure
Sina hakika
Please do not see
Usione
Msione
Don’t go home today please
Usiende nyumbani leo
Please go home today
Uende nyumbani leo
Do not take a lot of medicine, because it is dangerous
Usimeze dawa nyingi kwa sababu ni hitari
Do not forget to return here after a week
Usisahau kurudi hapa baada ya juma moja
Remember to take your medicine every day
Ukumbuke kumeza dawa yako kila siku
Do not talk, you need to work
Usiongee, unahitaji kufanya kazi
Do not exercise without a nurse
Usifanye mazoezi bila mwuguzi
Do not cook dinner today
Usipike chakula cha jioni leo
Don’t come tomorrow because we will be in Nairobi
Usije kesho kwa sababu tutakuwa Nairobi
Do not drink beer, you will get cancer
Usinywe pombe utakuwa na saratani
Don’t smoke
Usivute sigara
Don’t be late tomorrow, we will go to Nairobi
Usichelewe kesho, tutaenda katika Nairobi
Don’t cross the road without looking
Usivuke barabara bila kuangalia
Do not prepare the tea before preparing the bread
Usitayarishe chai kabla ya kutayarisha mkate
Do not return here without the card
Usirudi hapa bila kadi
Do not give children money
Usipatie watoto pesa
Stroke
Kiharusi
How old is he?
Ana miaka mingapi?