Phrases SW-FR 2 Flashcards
Azimio hilo limepitishwa
Cette motion a été autorisée à être présentée.
Azimio la kulikubali ombi la nchi
Une motion pour accepter la demande du pays
Baada ya kusitisha kwa majuma mawili kupitisha sherehe ya mwishoni mwa mwaka
Après une interruption de deux semaines en raison des fêtes de fin d’année.
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeshutumu Korea Kazkazni kwa majaribio yake ya makombora ya kinuclea
Le Conseil de Sécurité des Nations-Unis a condamné la Corée du Nord pour ses essais de missiles nucléaires.
Baraza la usalama wa UM limewawekea vikwazo viongozi wa M23
Le CSNU a infligé des sanctions aux dirigeants du M23.
Baraza limetawaliwa na waliberali
Le conseil est dominé / dirigé par les Libéraux.
Baraza linaloratibu upatikanaji wa katiba mpya
Le conseil qui coordonne l’élaboration de la nouvelle constitution.
Chini ya mwamvuli wa Umoja wa Afrika
Sous l’ombrelle de l’UA.
Cissoko anachukua nafasi ya Waziri Mkuu wa zamani Diarra
Cissoko succède à l’ancien premier ministre Diarra.
Dalili zinaonesha wazi kuwa…
Les signes indiquent clairement que…
Dalili zinaonesha wazi kuwa…
Les signes montrent clairement que…
Hajagusia kushurutishwa kwa kujiuzulu kwa Waziri Mkuu.
Il n’a pas abordé le sujet de la démission forcée du premier Ministre.
Hakuna katiba, bali kuna mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Il n’y a pas de Constitution, mais un traité de l’EAC.
Hakupa sababu maalum ya kuelekeza hatua yake
Il n’a pas donné de raison particulière pour expliquer sa décision.
Hali imeendelea kuwa tete kufuatia kurepotiwa mapingano makali
La situation continue d’être instable après que des combats violents aient été rapportés.
Hali ya hofu
Un climat de peur
Hali ya usalama bado tete
Le calme est encore fragile.
Hali ya wasiwasi inashuhudiwa jijini Goma
L’atmosphère d’incertitude se fait sentir dans la ville de Goma.
Hamna pingamizi kuhusu Bw. Tangaye kuwa Waziri Mkuu ajaye
Il n’y a pas d’opposition à ce que [=au sujet de] M. Tangaye devienne le prochain Premier Ministre.
Hatua hiyo inaendelea kuzua utata na hali ya hofu nchini humo
Cette démarche continue à créer du tumulte et à instaurer un climat de peur au sein du pays.
Hatua hiyo yagandamiza haki za wakristo
Cette decision porte atteinte aux droits des chrétiens.
Hatua imekuwa ikigonga mwamba kutokana na upinzani wa watetezi
La démarche s’est heurtée à un obstacle majeur, fruit de la résistance des opposants.
Hatua imewasilishwa licha ya upinzani wa wanachama
La decision est passée en dépit de l’opposition des membres du parti.
Hatua inatarajiwa kutolewa leo
La décision devrait être prise aujourd’hui.
Hatua ya kesi inatazamiwa kutoa mwelekeo
La sentence devrait faire jurisprudence.
Hatua ya kumteua haraka Waziri Mkuu
La décision de nommer rapidement un premier ministre.
Hatua ya Mamlaka ya Palestina kupatiwa uanachama rasmi ya Umoja wa Mataifa
La démarche de l’Autorité Palestinienne pour obtenir le statut d’Etat membre des Nations-Unis.
Hayo ni maneno ambayo yanasambazwa na serikali
Ce sont des mots qui sont colportés par le gouvernement.
Hili ndilo tishio kubwa kuwahi kukumba François Bozizé
Il s’agit de la plus menace la plus importante qui a pesé sur François Bozizé.
Hofu ya kupambana kati ya wafuasi wa serikali na wapingaji wao
Crainte d’affrontements entre les partisans du gouvernement et leurs opposants.
Huu ni wakati muafaka
C’est le bon moment
Huyu ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita
Celui qui est recherché par la Cour Pénale Internationale (litt. Cour Internationale pour les Crimes de Guerres)
Idadi kubwa ya wananchi walijitokeza kupiga kura
Un grand nombre de citoyens s’est déplacé pour voter.
Ili ikiuke sheria na masharti ya mikopo
Afin d’être en conformité avec la loi et les conditions de credit.
Kabla kufanyika kwa kura = Kabla kura ijafanyikiwe
Avant la tenue du vote
Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji
Vice-CEO
Kampeni ililazimika kuomba zaidi ya dola milioni 2
La société a été obligée de demander plus de deux millions de dollars.
Kampuni inakabiliwa na kushuka kwa bei ya madini ya platinum
La compagnie est confrontée à la chute du cours du minerai de platine.
Katika mchakato uliotangulia makubaliano ya amani
Dans le processus qui a conduit à l’accord de paix.
Kempeni za urais zapamba moto
les campagnes présidentielles prennent de l’ampleur
Kikao hichi kimekuwa kikiahiriwa kwa muda wa miezi miwili
Cette réunion est (continuellement) repoussée depuis deux mois.
Kikao kimetarajiwa kusuasua masharti ya makundi ya waasi
La rencontre doit mettre au clair les revendications des groupes de miliciens.
Kinyume na hapo
Contrairement à cela, à maintenant, au contraire
Kiongozi ameweka bayana safari yao
Le directeur a apporté des clarifications sur leur voyage.
Kiongozi wa nchi kwa upande wake amesema…
Le dirigeant du pays, pour sa part, a indiqué…
Kuchafua taswira yao mbele ya Jumuiya ya Kimataifa
Salir leur réputation aux yeux [en face de] de la communauté internationale.
Kuendeleza kwa makabiliano dhidi ya wapiganaji ya kiislamu
La poursuite des combats contre les combattants islamistes.
Kufanyika kwa kura ya maoni
La tenue du référendum
Kufanyika kwa kura ya maoni kumepangwa juma ijayo
La tenue du référendum est prévue la semaine prochaine.
Kufuatia shutuma kutoka kwa jamii ya kimataifa
Suite à la condamnation de la part de la communauté internationale
Kuhusishwa kwa majeshi katika tokeo hili
L’implication des militaires dans cet évènement.
Kukosekana kwa usawa
L’inégalité (litt. L’absence d’égalité)
Kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi mwaka 1994
La fin du régime de discrimination par la couleur (apartheid) en 1994.
Kuna uhusiano gani kati ya Wizara wa EAC na Wizara ya Mambo ya Nje?
Quelle est la relation entre le ministère de l’EAC et le ministère des affaires étrangères?
Kundi ambalo linapambana na serikali ya DRC
Le groupe armé qui est engagé dans un bras de fer avec le gouvernement.
Kundi la magaidi halikujitangaza kuhusishwa na mashambulizi hayo
Le groupe terroriste n’a pas revendiqué être impliqué dans cette attaque.
Kundi limekuwa kitisha cha usalama
Le groupe est devenu une menace pour la paix.
Kupewa umiliki wa mji wa Goma
Obtenir l’autorité sur la ville de Goma
Kusaka kwa suhulu ya mgogoro
La recherche d’une résolution à la crise
Kusitisha kwa mapigano
La suspension des combats
Kutojaliwa kwa huduma ya afya na elimu
Ne pas bénéficier de services de santé et d’éducation.
Kutokana na hatua hiyo
Suite à ce développement
Kuvuja kwa mafuta kulisababishwa na vitendo vya wizi
La fuite de pétrole a été causée par les actes des voleurs.
Maadhimio hayo yalifikiwa jana katika mkutano
Ces marques d’appréciation ont été données hier pendant la réunion.
Maandamano yanakuja wakati viongozi wamesema hawatarudi nyuma
Les manifestations interviennent alors que les dirigeants ont indiqué qu’ils ne reviendraient pas en arrière.
Machafuko yanaendelea kuwa kero
La crise continue de poser problème.
Madai ambayo yalipingwa vikali na serikali ya Rwanda
Des affirmations qui furent combattues fermement par le gouvernement rwandais.
Madai yako yatatekelezeka
Tes demandes seront satisfaites.
Maelfu ya watu wamejiunga katika maandamano ya amani
Des milliers de personnes se sont rassemblées dans une manifestation pacifique
Majadiliano yalidumu zaidi ya mwezi mmoja baina ya pande hizo mbili
Le débat a duré plus d’un mmois entre les deux parties.
Majaji wameshuhudisha kuwa uchaguzi huu haukuwa haki na huru
Le représentant du vaincu a confirmé que l’élection n’avait pas été libre ni de droit.
Majeshi wanapinga wazo la kupelekwa kwa majeshi ya ECOWAS
Les militaires s’opposent à l’idée de faire venir des soldats de l’ECOWAS.
Makala imechapishwa tahere 15 mwezi huu
L’article est paru le 15 de ce mois.
Makamu wa rais
Vice-président
Makubaliano ya kuweka silaha chini
Accord de cessez-le-feu
Malumbano yalidumu kwa zaidi ya majuma mawili
La passe d’armes a duré plus de deux semaines.
Mamia ya wafuasi waliandamana jijini Cairo
Des centaines de partisans ont manifesté dans la ville du Caire.
Mapendekezo yatakapopelekwa kwa baraza
Les recommandations qui seront faites au conseil
Marais wa Sudan na Sudan Kusini wameafikiana kutekeleza makubaliano ya mwaka jana
Les présidents du Soudan et du Sud-Soudan se sont mis d’accord pour appliquer l’accord de l’année dernière.
Marekani imeendelea na mpango wake
Les Etats-Unis continuent avec leur plan.
Marekani imeishinikiza serikali ya Palestina kuacha mkakati wake
Les Etats-Unis ont fait pression sur le gouvernement palestinien pour qu’il mette fin à sa stratégie.
Mataifa ya Magharibi yamelitaka jeshi kuachana na siasa na badala yake kulinda usalama wa raia
Les nations occidentales aimeraient que l’armée arrête de s’immiscer en politique, et qu’elles se concentrent sur la protection de la sécurité des citoyens.
Mataifa ya magharibi yamesifu hatua hiyo
Les nations occidentales ont bien accueilli cette décision.
Matokeo ya uchaguzi yaaonesha maoni ya umma
Les résultats de l’élection reflètent la voix du peuple.
Mawaziri wa Ulinzi wameadhimia kuongeza idadi ya wanajeshi wanaokabiliana na wapiganaji wa kiisilamu kazkazini mwa Mali
Les ministres de la défense ont salué l’augmentation du nombre de militaires qui luttent contre les combattants islamistes au nord du Mali.
Mawazo yataendelea
La réflexion se poursuivra.
Mazungumzo ya awali yaliyoandaliwa Kampala
Les premières discussions ont été préparées à Kampala.
Mazungumzo yaafikia muafaka
Les discussions parviennent à un dénouement heureux.
Mazungumzo yanakwama
Les discussions sont bloquées.
Mazungumzo yatazaa matunda
Les discussions portent leurs fruits.
Mbinu zote zitatumikwa kuhakikisha hali ya usalama ihifadhiwe
Tous les moyens seront utilisés pour garantir que la sécurité soit maintenue.
Mchakato uendelee ilivyopangwa
Que le processus continue comme il l’était prévu.
Mchakato wa tangamano wa jumuiya ya Afrika Mashariki umeanza na Umoja wa forodha, ikifuatiwa na Soko la pamoja, na itaendelea na Sarafu moja na hatimaye Shirikisho la Kisiasa
Le processus d’intégration de l’EAC a commencé avec l’Union douanière, suivi du marché commun, et se poursuivra avec la monnaie unique et à la fin, l’union politique.
Mikakati ya kukuza uchumi
Les stratégies de relance de l’économie.
Mkataba huu ndio mwongozo kamili
Ce contrat constitue un mode d’emploi détaillé.
Mkurugenzi wa mpito
Le directeur par intérim
Mkuu wa IMF ametoa wito wa kutobweteka
La directrice du FMI a lance un appel au non-protectionnisme [litt. A ne pas être protectionniste].
Mkuu wa IMF anataka dunia ijizatiti kukabiliana na matatizo ya uchumi
La directrice du FMI souhaite que le monde se tienne prêt à affronter les problèmes de l’économie.
Mkuu wa Tume amesema watafanikiwa kupata uanachama
Le Représentant en Chef a indiqué qu’ils réussiront à obtenir le statut de membre.
Moja ya masharti yao ni kutaka kupewa madaraka zaidi
Une de leurs conditions est qu’ils veulent se faire attribuer des pouvoirs supplémentaires.
Mshindi wa uchaguzi alitoa wito kwa upinzani kuendelea pamoja kuhifadhi hali ya amani nchini humo
Le vainqueur des élections a lancé un appel à l’opposition pour continuer ensemble à préserver la paix au sein du pays.
Msichana huyo amekuwa ishara ya mateso makubwa wanayopata wanawake wengi
Cette jeune fille est devenue le symbole des grandes souffrances que vivent (=qu’obtiennent) beaucoup de femmes.
Msuluhishi ameshindwa kutatua mtafaruku
Le médiateur n’a pas réussi à résoudre les divergences.
Mvutano baina ya wafuazi wa serikali na wapinzani unaongezeka
La tension monte entre les supporters du gouvernement et les opposants.
Mwakilishi atisha kujiondoa mazungumzo ikiwa maswala ya serikali hayatelekzwi
Le représentant a menacé de s’en aller de la discussion si les voeux du gouvernement n’étaient pas respectés
Mwakilishi wa serikali amekanusha kuhusika kwao katika tokeo hili
Le représentant du gouvernement a nié son implication dans cet évènement.
Mzozo wa kati ya wafuasi na wapinzani unaendelea
La querelle continue entre les les partisans et les opposants.
Nchi imekumbwa na machafuko
Le pays est menacé par la crise.
Nchi imekuwa ikipata msaada wa Ufaransa katika kulinda mazingira
Le pays reçoit de l’aide de la France en lien avec la protection de l’environnement.
Nchi wanachama 193 wataamua kama Palestina itakuwa mwanachama rasmi.
Les 193 Etats-membres arbitreront pour savoir si la Palestine peut obtenir le statut de membre.
Nchi za Magharibi mwa Afrika zimeahidi kupeleka vikosi vya wanajeshi
Les pays d’Afrique de l’Ouest ont promis d’envoyer des troupes de militaires.
Nchini humo
Au sein du pays
Ndiyo kutokana na athari yake
C’est en effet de sa faute
Ni sharti kuhakikisha kuwa haki za wanawake zinazingatiwa
Il est absolument nécessaire de s’assurer que les droits des femmes soient respectés.
Ni sharti kuwa
Il est indispensable que
Ni wazi kuwa…
Il est clair que…
Nia ya dhati
La volonté première, fondamentale
Nitakuonyesha mahali tulipo sisi hasa
Je te montrerai exactement l’endroit où nous sommes.
Oparesheni imefanikisha kuuteka uwanja wa ndege
L’opération a permis de prendre le contrôle de l’aéroport.
Oparesheni ya kumwokoa raia ya Ufaransa aliyekuwa akishikiliwa na wapiganaji
L’opération de libération du ressortissant français qui était prisonnier des combattants.
Palestina kuwasilisha ombi la uanachama Umoja wa Mataifa
La Palestine a envoyé sa demande d’adhésion aux Nations Unies.
Rais alikabidhiwa waraka wa rasimu mpya
Le président a reçu le document du nouveau projet.
Rais kwa muda
Le président temporaire
Rasimu ya katiba
Le projet de constitution
Repoti imebaini kuwa Maafisa watatu wameuawa
Le rapport indique que trois officiers sont morts.
Repoti za awali
Les tout premiers rapports
Serikali ameshindwa kuimarisha maisha ya wakaazi wa mashiriki mwa DRC
Le gouvernement n’a pas réussi à améliorer la vie des habitants de l’est congolais.
Serikali ameshindwa kukabiliana na ufisadi
Le gouvernement a échoué dans sa lute contre la corruption.
Serikali iliyopinduliwa
Le gouvernement qui s’est fait renverser
Serikali imesisitiza kutofanya mazungumzo iwapo madai yao hayatekelezeki
Le gouvernement a réaffirmé qu’il ne tiendrait pas de négociations si ses demandes n’étaient pas satisfaites.
Serikali inajaribu kuimarisha uchumi uliozorota
Le gouvernement essaie de stabiliser l’économie qui n’a pas réussi à se développer.
Serikali inaweka mikakati ya kuwahamisha maelfu ya raia wake
Le gouvernement met en œuvre des plans d’évacuation pour ses milliers de ressortissants.
Serikali inaweka mikakati ya kuwahamisha maelfu ya raia wake
Le gouvernement met en œuvre des plans d’évacuation pour ses milliers de ressortissants.
Serikali mpya iliyoundwa imetawaliwa na waislamu
Le nouveau gouvernement qui a été formé est dominé par les musulmans.
Serikali ndiyo inayokwamisha mazungumzo hayo kuweza kufikia muafaka
C’est le gouvernement lui-même qui empêche les discussions de pouvoir aboutir (positivement).
Serikali ndiyo kikwazo kwa sasa
Le gouvernement est effet ce qui fait obstacle pour le moment
Shambulio hilo ni la pili kutekelezwa na Taliban kwa mwaka huu
Cette attaque est la deuxième conduite cette année par les Talibans.
Siasa ya kukabilia kwa kubagua kwa kijinsia
Politique de lutte contre les discriminations liées au genre.
Suluhu la machafuko
La résolution de la crise
Tayari kundi limekiri kuhusika na tukio
Le groupe a d’ores et déjà reconnu son implication dans l’incident
Tayari maafisa wawili wa polisi wamesimamishwa kazi
Deux officiers de police ont d’ores et déjà été suspendus.
Tayari mawaziri sita wameapishwa katika mabadiliko ya baraza la mawaziri
Six ministres ont d’ores et déjà été investi dans (le cadre du) remaniement du conseil des ministres.
Tofauti zimezuka katika kikao
Les différences sont apparues lors de la rencontre.
Tukio la kushambuliwa kwa uwanja wa ndege
L’incident de l’attaque de l’aéroport.
Tukio lililojiri leo asubuhi
L’incident qui a eu lieu aujourd’hui dans la matinée.
Tukio lilitajwa kuwa mbaya zaidi tangu mwaka 1994
L’incident fut qualifié [comme] le plus grave depuis l’année 1994.
Tukio limethibitishwa pia na serikali
L’incident a également été confirmé par le gouvernement.
Uamuzi wa rais wa Misri kujiongezea madaraka
La decision du president égyptien de s’adjuger plus de pouvoirs.
Uchaguzi uliepusha kurejea kwa fujo katika nchi
Les élections ont permis d’empêcher le retour du chaos dans le pays.
Uchumi wa nchi zinazoendelea hususani barani Afrika
L’économie des pays en développement, en particulier sur le continent africain.
Ufaransa imeunga mkono hatua hii
La France soutient cette démarche.
Ukosefu wa huduma za afya
Le manque de soins de santé
Umoja wa Mataifa unatarajia kupiga kura leo
Les Nations Unies ont l’intention de voter aujourd’hui.
Umoja wa Ulaya ulikuwa katika msuguano
L’UE était dans une atmosphère électrique.
UNESCO ndiyo shirika pekee linaloitambua nchi hiyo rasmi
l’UNESCO est la seule organisation ayant officiellement accordé [le statut] au pays.
Urusi yahofia kuangushwa kwa Rais Assad
La Russie craint qu’Assad ne chute.
Uthibiti wa maeneo muhimu kwa wapiganaji
Le contrôle sur des zones capitales pour les combattants.
Viongozi vya nchi 11 wanachama waliazimia kundi hilo kuondoka mjini
Les dirigeants des 11 pays membres ont appelé le groupe à partir de la ville.
Viongozi wamesema kuwa watajitahidi nchi isiporejee katika machafuko
Les dirigeants ont dit qu’ils ne permettront pas que le pays retourne dans la crise.
Waaislamu wenye msimamo mkali
Les extrémistes islamiques.
Waasi wa M23 walitisha kujiondoa kwenye mazumgumzo ya kuweka silha chini
Les rebelles du M23 menacèrent de se retirer des négociations de cessez-le-feu.
Wakilishi walitishia kujiondoa ikiwa waasi waendelee kuikashifu serikali
Les délégués ont menacé de partir si les miliciens continuaient d’insulter le gouvernement.
Wakristo wasusia kura ya rasimu ya katiba
Les Chrétiens boycottent le vote du le projet de constitution.
Waliagizwa kutohudhuria katika kikao hicho
Ils ont reçu l’ordre de ne pas participer à cette rencontre.
Waliapa kurejea iwapo serikali haitafanya mazungumzo nao
Ils ont juré de revenir si le gouvernement ne négociait pas avec eux.
Walikuwa wanaushilikia mji na kisha kuondoka kwenye mji huo
Il occupaient la ville puis ils sont partis de cette même ville.
Wanachama wamekosoa hatua ya serikali
Les membres du parti ont critiqué la décision du gouvernement.
Wanajeshi walisalimu amri
Les militaires ont rendu le pouvoir.
Wanalitaka jeshi kuachana na siasa
Ils veulent que l’armée arrête de s’immiscer en politique.
Wanaohusishwa
Ceux qui sont impliqués
Wanaona hatua hiyo imechukuliwa dhidi yao
Ils pensent que cette decision a été prise contre eux.
Wanawake wa Bara Hindi wanaandamana dhidi ya kupuuzwa wanakoshuhudia kila siku katika maisha yao
Les femmes indiennes manifestent contre le mépris qu’elles expérimentent quotidiennement dans leur vie.
Wao pia wana uwezo wa kupigana nao ikiwa wawezeshwe na kupewa fedha na sihala
Eux aussi pourraient combattre à leur côté, si tant est qu’il leur soit donné de l’argent et des armes.
Wapingaji walituhumu serikali kujaribu kuwabagua kikabila
Les opposants accusent le gouvernement d’essayer de les discriminer par leur appartenance ethnique.
Wapinganaji wametupilia mbali mashitaka hayo
Les opposants ont rejeté avec force ces accusations.
Washiriki wamekuwa mstari wa mbele kupinga hatua hii
Les alliés étaient en première ligne pour s’opposer à cette démarche.
Wataka kutegeneza serikali yao
Ils veulent mettre en place leur propre gouvernement.
Watetezi wanalalamika kuwa baraza limetaliwa na wanachama wa Muslim Brotherhood
Les opposants se plaignent que le conseil soit dominé par les Frères Musulmans.
Watu 6 walishikiliwa kuhusiana na ubakaji huu
Six personnes furent arrêtées en lien avec ce viol.
Watu watatu wamejeruhiwa katika kikosi
Trois hommes ont été blessés parmi la troupe.
Wawakilishi 114 wakiwemo Mawaziri 60
114 délégués, parmi lesquels 60 ministres
Waziri Mkuu mpya amefahamika kimataifa
Le nouveau premier ministre est bien connu sur la scène internationale.
Wizara hiyo inasimamia uendelezaji wa tangamano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Ce ministère supervise la poursuite de l’intégration de l’EAC.
Wizara hizo mbili zinahusika na mahusiano ya Tanzania na nchi za nje
Ces deux ministères s’occupent des relations de la Tanzanie avec les pays étrangers.
Zaidi ya wakaazi 50000 walitoroka kwao kutokana na mapigano
Plus de 50000 habitants ont fui leur maison en raison des combats.