Phrases SW-FR 1 Flashcards
Wanatarajia kufungulia mashtaka kwa kuvunja sheria za kimataifa
Ils ont l’intention d’ouvrir une enquête sur la violation du droit international.
Wanamgambo 17 wa Al-Shabaab
17 Miliciens d’Al Shebaab.
Wamekosa hoja ya msingi
Ils se sont trompés sur un point fondamental.
Walifunguliwa mashitaka ya mauaji
Ils furent emprisonnés pour (le motif de) meurtre.
Wakulima wanataka kulipwa fidia kwa hasara waliopata
Les agriculteurs veulent se faire payer une compensation pour la perte qu’ils ont subie.
Wafaransa 7 waliotekwa nyara.
Les sept Français pris en otage
Wachambuzi wa siasa wanona huu ni wakati muafaka
Les analystes politiques estiment que c’est le bon moment.
Waasi wanakanusha vikali kupata ufadhili kutoka serikali ya Uganda
Les rebelles réfutent vivement qu’ils bénéficient du soutien du gouvernement ougandais.
Waasi wa M23 walikuwa wameushikilia mji wa Goma
Les miliciens du M23 avaient occupé la ville de Goma.
Viongozi walikutana kuzungumza kuhusu mustakabali wa uchaguzi
Les dirigeants se sont réunis pour définir l’après-élections.
Vikwazo vinatimiza kuzuilishwa kwa kusafiri nje ya nchi
Les sanctions comprennent une interdiction de voyager à l’étranger.
Vikosi vya Umoja wa Afrika
Les troupes de l’Union africaine
Vikosi vya Ufaransa vilifanya mashambulizi ya anga
Les troupes françaises ont réalisé des attaques aériennes.
Vikosi vya Mali na Ufaransa vimefanikiwa kutwaa mji wa Gao.
Les troupes maliennes et françaises réussirent à prendre le contrôle de la ville de Gao.
Vikosi vinafanikiwa kurejesha mikononi mji wa Kona.
Les troupes ont réussi à reprendre le contrôle de la vie de Kona.
Utapata hasara
Tu seras en déficit
Ushirikiano wa kimataifa
La coopération internationale
Unyanyasanji wa kijinsi
Les violences faites aux femmes
Umoja wa kujihami wa nchi za magharibi
OTAN
Umoja wa forodha ulianza mwaka 2005
L’union douanière a commencé en 2005.
Uchaguzi wa urais
L’élection présidentielle
-tolea angalizo
Donner l’alerte.
Tayari waasi wameteka miji kadhaa, ikiwemo miji ya katikati mwa nchi na utajiri kubwa wa madini la almasi
Les rebelles ont d’ores et déjà pris plusieurs villes, parmi lesquelles les villes du centre du pays et une grande réserve minière de diamant.
Silaha ya kiini / ya kinuclea.
L’arme nucléaire
Silaha ya kemikali.
L’arme chimique
Silaha nzito
L’arme lourde
Shambulio hili la aibu
Cette agression scandaleuse
Sarafu moja
La monnaie unique
Rais amekabidhiwa waraka wa rasibu mpya
Le président s’est fait remettre le nouveau projet.
Pindi mchakato wa upatikanaji ya katiba mpya ukikamilika
Lorsque le processus de rédaction de la constitution sera achevé.
Nia ya dhati.
La volonté première, fondamentale
Ni mara ya kwanza kwa kampuni kubwa kama Shell kushitakiwa kwa uharibifu wa mazingira
C’est la première fois pour une grande société comme Shell d’être attaqué pour dégradation de l’environnement.
Mtetezi wa haki za binadamu
Les défenseurs des droits de l’homme
Msingi ambao uko umbali wa km 10 kutoka mpaka
La base qui se trouve à une distance de 10 km de la frontière.
Msichana huyo amekuwa ishara ya kizazi kizima
Cette jeune fille est devenue le symbole d’une génération toute entière.
Mnamo miaka ya sitini
Dans les années 1960
Mkutano huo umekutanisha wawakilishi kutoka mataifa 114
Ce sommet a fait se rassembler des délégués en provenance de 114 nations.
Mkataba wa kuanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki
Le traité constitutif l’EAC.
Mchakato wa katiba mpya
Le processus pour la nouvelle constitution.
Mazunguzo kwa mara nyingine yamegonga mwamba
Les discussions ont encore une fois achoppé.
Mazumgumzo yataanza baada ya kushugulishwa kwa baadhi ya mambo yaliyotajwa
Les discussions commenceront après que quelques affaires qui ont été mentionnées soient réglées.
Matumizo ya silaha nzito hizo hadi sasa hayajasababisha athari yoyote
L’utilisation de ces armes lourdes, jusqu’à maintenant, n’a pas encore causé de dommage.
Mataifa jirani wanajumuisha wanajeshi 1200
Les nations voisines sont en train de rassembler 1200 soldats.
Mashirika ya kutetea haki za binadamu
L’organisation de defense des droits de l’homme
Mali yao itapigwa tanji
Leurs avoirs seront gelés.
Malazi ya siku tatu
un séjour de trois nuitées
Makundi ya kigaidi
Les groupes terroristes
Majuma kadhaa yaliyopita
Il y a quelques semaines
Majaji wameshuhudisha kuwa uchaguzi huu haukuwa haki na huru
Le représentant du vaincu a confirmé que l’élection n’avait pas été libre ni de droit.
Maandamano hayo makubwa yaliisukuma serikali kuchukua hatua kali za kuharakisha haki za wanawake
Ces manifestations poussèrent le gouvernement à prendre des mesures fortes pour défendre le droit des femmes.
Lengo maalum.
l’objectif particulier
Lengo la kwanza la oparesheni ni kuharibu vifaa vya waasi
Le premier objectif de l’opération est d’affaiblir (=d’abimer) l’équipement des rebelles.
Lengo la kubwa.
l’objectif principal
Kwenye mpaka wa DRC na Rwanda
A la frontière entre la RDC et le Rwanda
Kupitia msemaji wa Wizara
Selon le porte-parole du ministère
Kundi la wapiganaji
Un groupe de combattants
Kundi la Ansar Dine lenye maskini yake kaskazini mwa Mali
Le groupe Ansar Dine qui a sa base au nord Mali.
Kuharakishwa kwa shirikisho la kisiasa
L’accélération de l’intégration politique.
Kuchimba kwa mafuta
L’extraction pétrolière
Kuchimba kwa madini
L’extraction minière
Kombara la masafa marefu
Missile de longue portée
Kiwanda cha kuchimba madini ya platinium ya Lonmin
L’entreprise d’extraction de minerai de platine Lonmin.
Kisa cha ufisadi
Affaire de corruption
Kifo cha mwanamke moja ambaye alibakwa na kundi la wanaume
La mort d’une femme violée par un groupe d’hommes.
Kambi la wakimbizi
Le camp de réfugiés
Jukwaa ya mashirika ya msaada
Une plateforme d’ONG.
Ili kuzuia maelfu ya wakaazi kukimbia makwao
Afin d’éviter que des milliers d’habitants ne quittent leur domicile.
Idadi ya wafuasi
Un grand nombre de partisans
Hatua ya kesi inatazamiwa kutoa mwelekeo
La sentence devrait faire jurisprudence.
Hali ya wasiwasi ilishuhudiwa jana jijini Accra
L’atmosphère d’inquiétude était palpable hier dans la ville d’Accra.
Eneo lenye utajiri mkubwa wa mafuta
Un endroit doté de grandes resources en pétrole.
Eneo hilo ambalo lilikuwa ngome ya waasi
Cet endroit, qui était le bastion des rebelles
Awamu ya vikosi
Une partie des troupes.
Angalizo hilo limetolewa baada ya mauaji ya wanajeshi wawili nchini Somalia
Cette alerte a été donnée après la mort de deux soldats en Somalie.