Wiki nane - Classe 1/2 "m/mw-wa" (suite) Flashcards
Ça va ce matin ? Paisible ? Bien ici ?
Za asubuhi ? Salama ? Upo ?
J’étudie / J’apprends l’anglais
Ninasoma / Ninajifunza Kiingereza
Elle prof de physique, elle enseigne la physique
Ni mwalimu wa fizikia, anafundisha fizikia
Quel est son nom ? Son nom est Magesa
Jina lake nani ? Jina lake Magesa
Ils sont des parents gentils
Wao ni wazazi wazuri
Nous sommes une famille, nous sommes Tanzaniens, nous vivons à Dar es Salaam
Sisi ni familia, sisi ni Watanzania, tunaishi Dar es Salaam
- sortir, venir de
- enseigner
- apprendre
- étudier, lire
- faire
- vivre, habiter
- kutoka
- kufundisha
- kujifunza
- kusoma
- kufanya
- kuishi
CONJUGAISON
Présent
(mimi) ni-na-
(wewe) u-na
(yeye) a-na
(sisi) tu-na
(nyinyi) m-na
(wao) wa-na
une personne, qqun
mtu, watu
un enfant
mtoto, watoto
une jeune fille
msichana, wasichana
un jeune homme
mvulana, wavulana
un insecte, une bestiole
mdudu, wadudu
un animal
mnyama, wanyama
un étudiant, un élève
mwanafunzi, wanafunzi
un voleur
mwizi, wezi
un enseignant
mwalimu, walimu
un chanteur
mwimbaji, waimbaji
un acteur
mwigizaji, waigizaji
un écrivain
mwandishi, wandishi
un homme politique
mwanasiasa, wanasiasa
un client
mteja, wateja
lâche
-oga
musulman
Mwislamu, Waislamu
musicien
mwanamuziki, wanamuziki
fou
-endawazimu
africain
Mwafrika, Wafrika
une femme, des femmes
mwanamke, wanawake
un homme, des hommes
mwanamme, wanaume
une personne sévère
mtu mkali, watu wakali
une personne intelligente
mtu mwerevu, watu werevu / safi
un enseignant italien
mwalimu Mwitaliano, walimu, Waitaliano
un mauvais cuisinier
mpishi mbaya, wapishi wabaya
un animal noir
mnyama mweusi, wanyama weusi
une jeune fille mince
msichana mwembamba, wasichana wembamba
une personne prête
mtu, watu tayari