Wiki kumi na saba - Classe 5/6 "Ji-/Ma-" (suite) + Routine + Mois Flashcards
s’habiller
kuvaa
jouer (avec les enfants)
kucheza (na watoto)
dormir
kualala
étudier / lire
kusoma
promener le chien
kutembeza mbwa
cuisiner
kupika
se réveiller
kuamka
regarder (la TV / le portable)
kuangalia (televisheni / simu)
se laver
kuoga
se brosser les dents
kupiga mswaki
(mots de liaison)
- d’abord, en premier
- avant (+ complément / vb à l’infinitif)
- après (+ complément / vb à l’infinitif)
- ensuite
- puis
- enfin
- de temps en temps
- d’habitude
- tous les jours / matins
(maneno)
- kwanza
- kabla (ya)
- baadaye / baada (ya)
- halafu
- kisha
- mwishowe
- mara kwa mara
- kwa kawaida
- kila siku / asubuhi
(Traduire et mettre au singulier)
- des longs pieds
- de bons mets
- des étudiants intelligents
- des vieux sévères
- des patates douces
- des grands miroirs
- des fleurs rouges
- des écrivains riches
- des bonnes réponses
- des petites chambres
- des touristes italiens
- des guérisseurs doués
- des années entières
- des chemises sales
- des questions difficiles
- des yeux noirs
- des jolis noms
- des moustiquaires longues
- miguu mirefu, mguu mrefu
- vyakula vitamu, chakula kitamu
- wanafunzi werevu, mwanafunzi mwerevu
- wazee wakali, mzee mkali
- viazi vitamu, kiazi kitamu
- vioo vikubwa, kioo kikubwa
- maua makundu, ua jekundu
- wandishi tajiri, mwandishi tajiri
- majibu mazuri, jibu zuri
- vyumba vidogo, chumba kidogo
- watalii Waitaliano, mtalii Mwitaliano
- waganga hodari, mganga hodari
- miaka mizima, mwaka mzima
- mashati machafu, shati chafu
- maswali magumu, swali gumu
- macho meusi, jicho jeusi
- majina mazuri, jina zuri
- vyandarua virefu, chandarua kirefu
Tu te lèves à quelle heure ?
Unaamka saa ngapi?
Tu te brosses d’abord les dents ou tu prends d’abord ton petit-déjeuner ?
Unapiga mswaki kwanza au unakunywa chai kwanza?
pain
mkate
beurre
siagi
omelette
kimanda
café
kahawa
lait
maziwa
thé
chai
tu manges quoi le matin ?
unakula nini asubuhi?
que fais-tu après le repas ?
baada ya kula unafanya nini?
préfères-tu faire des exercices ou bien travailler ?
unapendelea kufanya mazoezi au kufanya kazi?
que fais-tu le week-end
unafanya nini wikiendi?
je veux terminer mon travail avant le week-end
ninataka kumaliza kazi yangu kabla ya wikiendi
je viendrai après
nitakuja baadaye
je regarde la télévision après mon travail
ninaangalia televisheni baada ya kazi yangu
MOIS DE L’ANNEE
- Janvier
- Février
- Mars
- Avril
- Mai
- Juin
- Juillet
- Août
- Septembre
- Octobre
- Novembre
- Décembre
MIWEZI YA MIAKA
- mwezi wa kwanza (mois de premier) ou Januari
- mwezi wa pili (mois de second) ou Februari
- mwezi wa tatu (mois de troisième) ou Machi
- mwezi wa nne ou Aprili
- mwezi wa tano ou Mei
- mwezi wa sita ou Juni
- mwezi wa saba ou Julai
- mwezi wa nane ou Agosti
- mwezi wa tisa ou Septemba
- mwezi wa kumi ou Oktoba
- mwezi wa kumi na moja ou Novemba
- mwezi wa kumi na mbili ou Disemba/Desemba