Wiki kumi na tatu - Mazoezi wa marudio + verbes + métiers Flashcards
lit
kitanda, vitanda
voiture
gari
cheval
farasi
téléphone portable
simu
ordinateur
kompyuta
Conjugaison : ne pas aimer (présent)
- sipendi
- hupendi
- hapendi
- hatupendi
- hampendi
- hawapendi
assistante de direction
karani, makarani, karani kwenye ofisi / shirika / kampuni
avocat
wakili, mawakili / mwanasheria, wanasheria
chercheur
mtafiti, watafiti
artiste
msanii, wasanii
développement
maendeleo
journaliste
mwandishi wa habari, wandishi wa habari
informaticien
mwanasayansi / mhandisi wa kompyuta
mère au foyer
mke, wake wa nyumbani
philosophe
mwanafasalfa, wanafalsafa
professionnel (des services) de santé
mfanyakazi, wanakazi wa huduma za afya
secrétaire
katibu, makatibu
traducteur
mfasiri, wafasiri
retraité
mstaafu, wastaafu
directeur
mkurugenzi, wakurugenzi
client
mteja, wateja
pendant
wakati
pombe
alcool
Félicitation à toi / vous !
Hongera / Hongerini !
J’ai bien reçu !
Nimeipokea vizuri !
examen
mtihani
kuwa –> ni / si
être
kula –> sili
manger
kunywa –> sinywi
boire
kuja –> siji
venir
kufa –> sifi
mourir
Vivre, habiter
Kuishi
Voyager / Je ne voyage pas
Kusafiri / Sisafiri
Kuhesabu / Sihesabu
Compter / Je ne compte pas
Sourire / Je ne souris pas
Kutabasamu / Sitabasamu
Pardonner / Je ne pardonne pas
Kusamehe / Sisamehe
Pardonner / Je ne pardonne pas
Kusamehe / Sisamehe
commerce
byashara
commerçant
mwanabyashara
ingénieur
mhandisi
services de santé
huduma za afya